Mimi nipo na Ndugai toka mwanzo, alipoomba msamaha ndiyo kaharibu.
Ndugai yupo sahihi kuhusu mikopo kama hiyo, yaliyobaki ni ushabiki tu.
Mimi nipo na Ndugai toka mwanzo, alipoomba msamaha ndiyo kaharibu.
Ndugai yupo sahihi kuhusu mikopo kama hiyo, yaliyobaki ni ushabiki tu.
Kwenye video hii Tundu Lisu amemtetea spika Ndugai kutokana na kukataa kwa mara ya kwanza bunge kuwa rubber stamp wa serikali, kwani mikopo yote hupita bungeni lakini huu wa trillion1.3 haukupelekwa bungeni mbali ulipitishwa juu kwa juu.!
Lisu amesema Ndugai amekaa bungeni kwa miaka 22 huku akishika nafasi mbalimbali za uongozi hivyo haiwezekani akawa hajui utaratibu wa wapi pa kuongelea mbali amefanya hivyo kwa sababu kuna jambo.
Ungesema kamteta etweege ningekuelewa Kwa urahisi zaidi🤔.Kwenye video hii Tundu Lisu amemtetea spika Ndugai kutokana na kukataa kwa mara ya kwanza bunge kuwa rubber stamp wa serikali, kwani mikopo yote hupita bungeni lakini huu wa trillion1.3 haukupelekwa bungeni mbali ulipitishwa juu kwa juu.!
Lisu amesema Ndugai amekaa bungeni kwa miaka 22 huku akishika nafasi mbalimbali za uongozi hivyo haiwezekani akawa hajui utaratibu wa wapi pa kuongelea mbali amefanya hivyo kwa sababu kuna jambo.
Hapa ndipo unaona mapungufu ya huu muhimili kwamba haujitegemei. Ndo maana Spika anaonekana kama mteule wa Rais. Anatetemeka na kuomba radhi.
Watz wanadai katiba mpya Ndugai kwa unafiki wake anajifanya haelewi acha yamkute.