mkuuwakaya
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 1,063
- 1,456
Nasema hivi Chama hawezi achiwa Lissu. Mimi namkubali sana Lissu lakini sio aachiwe Chama. Hapo NO kabisa aisee.
Staili ya kuchafua wengine ili upate uhalali wa kuwa mwenyekiti hapo hapana.
Kwenye sanduku la kura huyu tayari ameshashindwa.
Nasema hivi kama angekuja kwa staili ya kutulia na kuoñyesha umoja, mwenyekiti wala asingeomba tena mitano. Lakini sio kwa namna alivyokuja.
Kinyago tuchonge wenyewe halafu kitutishe? Alah