Shahidi ASP Juma Batazali yeye ni shaidi wa 14.
Maelezo yake baada ya kuapa huko polisi songea anasema Mimi ni afisa wa polisi ni mrakibu wa polisi. Mkuu wa upelelezi Songea.
Mimi nilimuhoji P2 ambae alisema alikuwa bize na mapokezi ya vipngozi wa Chadema songea na tarehe 04/04 aliona video kwenye simu Mhe. Lissu akitoa maelezo kwanwanachama wa Chadema kuwa watazuia uchaguzi kwa kuhamsisha uasi.
Video hii ilimpa hamasa sana baada ya kumsikiliza Tundu Lissu, amemaliza ushaidi wake.
Hapa ndio najua kwanini wameamua kesi isuruke live.
CCM kwa kupenda giza walikimbia na CCTV camera za area D , na sasa hata hawataki watu waingie na simu kwenye chumba cha kupigia kura isipokuwa policcm na wasimamizi wa uchafuzi wa ccm.