Mkuki kwa Nguruwe kwa binadamu mchungu hamna kitu Lissu atafanya, CHADEMA mmeingia chaka, anayeweza vita ya upinzani ni Mbowe hapo mlipiga teke fuko la hela1. Aliahidi hata kuwa legelege kama mbowe
2. Alisema mbowe hakubaliki na watz hasa chadema, yeye ndie anakubalika, kwa hivyo akiitisha maandamano hatakaa mtu ndani chadema wote watatoka barabarani.
3. Hatakubali kufanya maridhiano na ccm bali ni mwendo wa ninja nginja
Naona hili dogo la Dr Slaa limekuwa dogo lkn kwa upande wa lissu limemzidi kimo.
Mi nataka Lissu aingie 18 lile tumbo kitatoa usaha!1. Aliahidi hata kuwa legelege kama mbowe
2. Alisema mbowe hakubaliki na watz hasa chadema, yeye ndie anakubalika, kwa hivyo akiitisha maandamano hatakaa mtu ndani chadema wote watatoka barabarani.
3. Hatakubali kufanya maridhiano na ccm bali ni mwendo wa ninja nginja
Naona hili dogo la Dr Slaa limekuwa dogo lkn kwa upande wa lissu limemzidi kimo.
Umekusudia kusema niniNdio unavyoona,umesahau wanaomshikiria Slaa kwa wiki kadhaaa walimshikiria Mbowe gerezani kwa Miezi 8
Fanya study zako vizuri bro mbona mambo rahisi haya
Mbona mapema sana? Hebu tuliza ngebe... usijeumbuka!1. Aliahidi hata kuwa legelege kama mbowe
2. Alisema mbowe hakubaliki na watz hasa chadema, yeye ndie anakubalika, kwa hivyo akiitisha maandamano hatakaa mtu ndani chadema wote watatoka barabarani.
3. Hatakubali kufanya maridhiano na ccm bali ni mwendo wa ninja nginja
Naona hili dogo la Dr Slaa limekuwa dogo lkn kwa upande wa lissu limemzidi kimo. Mwezi sasa dk slaa ambae Lema mshauri wa Lissu aingizwe kamati kuu
Dude, get over with it. Uchaguzi umeisha! Usiyemtaka ndiye kashinda; hiyo ndiyo democracy, you don’t always get what you wanted!1. Aliahidi hata kuwa legelege kama mbowe
2. Alisema mbowe hakubaliki na watz hasa chadema, yeye ndie anakubalika, kwa hivyo akiitisha maandamano hatakaa mtu ndani chadema wote watatoka barabarani.
3. Hatakubali kufanya maridhiano na ccm bali ni mwendo wa ninja nginja
Naona hili dogo la Dr Slaa limekuwa dogo lkn kwa upande wa lissu limemzidi kimo.
Nataka. Nasubiri maandamano makubwa ya historia ambayo mbowe yalimshindaNi wakati wa Lissu hutaki jitangulize kuzimu
Shukran mkuu. Kwa hivyo tutegemee maandamano ya kwenda kumtoa Dr Slaa? Au sijakufahamuMbona mapema sana? Hebu tuliza ngebe... usijeumbuka!
Bora alivyopigwa ban, kaachiwa, kaanza matatizo yake🤣Huwa unamatatizo ya akili et?
Kwa akili yako Huwezi elewa hii,Hebu kaeni kwa kikundi hapo mlipo.Umekusudia kusema nini
Mbowe mbona alikwachieni mumtakane mutakavyo? Mimi kuandika imekuwa kero?Bora alivyopigwa ban, kaachiwa, kaanza matatizo yake🤣
Tufanyeje?Kwa akili yako Huwezi elewa hii,Hebu kaeni kwa kikundi hapo mlipo.
Lissu mbona ulimtukana utakavyo, bado hujatosheka!!!Mbowe mbona alikwachieni mumtakane mutakavyo? Mimi kuandika imekuwa kero?
Tusubiri oktoba1. Aliahidi hata kuwa legelege kama mbowe
2. Alisema mbowe hakubaliki na watz hasa chadema, yeye ndie anakubalika, kwa hivyo akiitisha maandamano hatakaa mtu ndani chadema wote watatoka barabarani.
3. Hatakubali kufanya maridhiano na ccm bali ni mwendo wa ninja nginja
Naona hili dogo la Dr Slaa limekuwa dogo lkn kwa upande wa lissu limemzidi kimo. Mwezi sasa dk slaa ambae Lema mshauri wa Lissu aingizwe kamati kuu
Mirembe walikuruhusu kabla hujapona vizuri.1. Aliahidi hata kuwa legelege kama mbowe
2. Alisema mbowe hakubaliki na watz hasa chadema, yeye ndie anakubalika, kwa hivyo akiitisha maandamano hatakaa mtu ndani chadema wote watatoka barabarani.
3. Hatakubali kufanya maridhiano na ccm bali ni mwendo wa ninja nginja
Naona hili dogo la Dr Slaa limekuwa dogo lkn kwa upande wa lissu limemzidi kimo. Mwezi sasa dk slaa ambae Lema mshauri wa Lissu aingizwe kamati kuu
Dogo unamuengelea sana Tundu Lissu kuliko unavyoongea deals, utakufa fukara kwa uchawa na kufuatilia maisha ya mwanaume aliyekushinda kila kitu kwenye maisha Yako. Mbaya zaidi hata hakufahamu1. Aliahidi hata kuwa legelege kama mbowe