1. Aliahidi hata kuwa legelege kama Mbowe
2. Alisema mbowe hakubaliki na watz hasa chadema, yeye ndie anakubalika, kwa hivyo akiitisha maandamano hatakaa mtu ndani chadema wote watatoka barabarani.
3. Hatakubali kufanya maridhiano na ccm bali ni mwendo wa ninja nginja
Naona hili dogo la Dr Slaa limekuwa dogo lkn kwa upande wa lissu limemzidi kimo. Mwezi sasa dk slaa ambae Lema mshauri wa Lissu aingizwe kamati kuu yumo ndani. Wakili wake ni Lissu lkn Dr slaa yumo ndani