Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Mshtakiwa kwenye kesi ya Uhaini Tundu Lissu amelalamikia tabia ya Ofisi ya mwendesha mashitaka wa Serikali (DPP) kutoheshimu amri za mahakama.
Lissu amesema mahakama mara kadhaa imewaagiza upande wa mashitaka kuleta mashahidi wa kutosha kwenye kesi hiyo, lakini upande wa mashitaka hautekelezi amri hizo.
Lissu anaona hali hiyo ni kuidharau mahakama na kuona kama haiwezi kufanya chochote dhidi ya waendesha mashitaka.
Ametahadharisha kuwa hali hiyo inaweza kuifanya jamii iamini kuwa mahakama zetu ni kama "Kangaroo courts"