Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
watakuwa vichaa ndio wanaweza kushangaa! Kwani kuna mahakama? wanachoweza ni kukataza press conference kwenye viunga vya mahakamaKwani bado kuna watu wanashangaa DPP kukaidi mahakama?
Sahihi kabisa.watakuwa vichaa ndio wanaweza kushangaa! Kwani kuna mahakama? wanachoweza ni kukataza press conference kwenye viunga vya mahakama
Kabisa. Na wamesema jumatatu wataleta mashahidi wao wote.Naona kama Janja Janja ya Mawakili wa upande wa serikali , unafikia mwisho soon..ila Jtatu sio mbali, kutafika tu
Kama wanaweza kumfanyia Lisu hivi, je sisi kajampa nani si ni vifo tu!Hoja kama hii kutolewa na wakili mbobevu kama Lissu hufikirisha Sana. Maana jee kwa ngazi zetu sisi kina kanyagatwende hali ikoje?
Mahakama yeye, bunge yeye na serikali yeye, ndiomaana watu wanadai katiba kurekebisha hayaTanzania hakuna mahakama aliyeko madarakani ndio mahakama yenyew na kila ktu..
Naaam ingekuwa mtu wa chiji angeshafungwa waaay back, ila lissu anaona holes an mahdaifu makubwa mno kwenye systemHoja kama hii kutolewa na wakili mbobevu kama Lissu hufikirisha Sana. Maana jee kwa ngazi zetu sisi kina kanyagatwende hali ikoje?
Serikali ndio kabisa Sasa inajivua nguo,walikataza kutoonyeshwa mubashara kesi,Bado watu wanajaa na kushabikia, Sasa Tena imehamia Kwa maafisa wa mahakamani,KAZI wanayo!Lisu ameamua tu kuisaidia mahakama, lakini ukweli ni kuwa hata mahakama inajua haina cha kumfanya DPP. Hata lile katazo la jana kuzuia mawakili kufanya press nje ya mahakama ni katazo la serekali kwa sababu ya aibu ya kushindwa kwenye hiyo kesi. Na majaji wanajua kabisa watu sasa hivi wameshajua ni kinyago tu, na mahakama inatumika kukomoa wakosoaji.
Hiyo inaonyesha DPP ni mpuuzi fulani.DPP ndiyo Controller wa Criminal Proceedings mahakamani kifupi ndiye mlalamikaji
Hii unamaanisha kuwa ana control pia amri za mahakama. Yaani DPP anaweza asitii amri za mahakama?DPP ndiyo Controller wa Criminal Proceedings mahakamani kifupi ndiye mlalamikaji
Mahakama yenyewe imeshindwa kuheshimu amri inazotoa, na mwingine ataziheshimu!Kwani bado kuna watu wanashangaa DPP kukaidi mahakama?
Ni kuweka Tu recordsKwani bado kuna watu wanashangaa DPP kukaidi mahakama?