Lissu ana nia njema, lakini hatoboi uchaguzi m/kiti CHADEMA

Lisu kupenya ni sawa na lisu kushinda urais kitu ambacho mtanzania yeyote, mwenye akili timamu, hawezi kukubali lisu awe kiongozi mkubwa.

Majuto ni mjukuu.
Tulimkabidhi mwendakuzimu chizi nchi na matokeo mliyaona sasa apewe mwehu lisu si ataangamiza taifa
 
Lissu atashindwa, Mbowe atashinda lakini chadema itakufa rasmi na kuzikwa siku hiyo ya tarehe 21/01/2025
Chadema haifi ina wenyewe chadema wenye nacho kwanza ni waprotestantii walutheri,wapentecoste,wasabato nk pili wachaga waliozagaa nchi nzima

Lisu katoliki kama Slaa

Katoliki chama chao CCM Lisu na Slaa walikosea njia ndio maana Lowasa alipewa ugombea sababu mprotestant Slaa akaachwa hewani.Mkatoliki mwenzie Magufuli ndie alimhurumia na kumpa Post akikumbuka kuwa alikuwa padre wake

Lisu hatoboi huu uchaguzi
Vyama vina udini sana ndio maana ACt wazalendo ina nguvu zanzibari na Chadema haina wanajuana udini

Mbowe sio saizi ya Lisu

Lisu ajue hilo .Chadema ina wenyewe

Lisu hata Mbowe asiingegombea likawekwa jiwe na Lisu Jiwe lingemshinda kwa kura Lisu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…