Kumbe alimweleza Heche na sio kuwapa amri wanachadema wawe na rasta? Na je baada ya hapo Heche akawa na rasta? Mkuu uwe unatumia akili kufikiri
Matusi na kujitetea kwingi!
Hii hapa
View: https://youtu.be/hutQG7XKybA
Kumbe alimweleza Heche na sio kuwapa amri wanachadema wawe na rasta? Na je baada ya hapo Heche akawa na rasta? Mkuu uwe unatumia akili kufikiri
Issue ya makinikia aliungana na wazungu kumhujumu Magufuli ...na pengine muendelezo huo wa hujuma uliendelea hadi kipindi cha Samia.Hata moyoni unajua kabisa kuwa lissu ni mzalendo wa kweli kuliko genge lote la ccccm lililopo...ishu ya makinikia Lissu alimueleza Magufuli ambae ni mbumbumbu wa sheria kuwa hili suala halihitaji nguvu kwasababu mwisho wa siku taifa litashitakiwa kwasababu wao katika uga wa kisheria sio kwamba wanaiba.... ila magufuli akawa mbishi na kuja kuwadanganya watu kama ninyi kuwa mutapata kila mtu Noah ya kwake,,Na akaunda tume za kipumbavu zile mara oooh makinikia yatachenjuliwa hapahapa nchini na madunduka mukapiga makofi haya mwisho wa siku kipi kulitokea kama sio yaleyale ya kuwalipa pesa ndefu kama fidia? Ccccm ndio maadui wa hili taifa kwasababu nchi ina rasilimali za kila aina ila hadi leo Mtanzania bado ni maskini wakutupwa
Dogo hivi una akili timamu kweli wewe? Lissu alieleza ukweli kuwa wazungu kila wanachokifanya hasa kwenye ishu za unyonyaji ni lazima wafunge mkataba ili baadae ukija kukurupuka inakuwa hauna pakutokea zaidi ya kula kwako...wale barrick sijui accasia sio kwamba ni vilaza mpaka washauriwe na lissu tambua wapo dunia mzima mule ndani muna vichwa vya kila aina...shida ya siasa za kiafrika zinahitaji unafiki ndio maana usishangae leo hii baada ya magufuli kufariki ukimwendea ossoro na mruma usishangae wanakuambia kuwa magufuli alikurupuka kwenye lile ndio maana ameitia hasara nchi...Lissu alieleza hivi mikataba yote iwekwe wazi ili ijadiliwe kitaalamu ila si akapuuzwa? Lissu huyohuyo akaeleza kuwa issue ya gesi ni nyeti mno inabidi tuiendee polepole na kwa uangalifu mno ila ccccm wakapuuza ikapelekwa bungeni kupitishwa kama hati ya dharura na kama unakumbuka jpm aliwahi kusema Laiti watanzania wangejua kilichotokea kwenye gesi yao wangetoa machozi ya chungu kwasababu sio yetu ileIssue ya makinikia aliungana na wazungu kumhujumu Magufuli ...na pengine muendelezo huo wa hujuma uliendelea hadi kipindi cha Samia.
Hata ndege ilizuiliwa kwa sababu yake...huo mnaoita uzalendo wa kuhujumu nchi yako ni uzalendo wa sayari ipi?
Hujuma na uhaini imekuwa ni hulka ambayo itakomeshwa kupitia haki ya kimahakama
Kumtetea Samuya ni kutetea wizi wa kura, utekaji na mauaji, lazima uwe mwehu to take that positionIssue ya makinikia aliungana na wazungu kumhujumu Magufuli ...na pengine muendelezo huo wa hujuma uliendelea hadi kipindi cha Samia.
Hata ndege ilizuiliwa kwa sababu yake...huo mnaoita uzalendo wa kuhujumu nchi yako ni uzalendo wa sayari ipi?
Hujuma na uhaini imekuwa ni hulka yake