YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Lissu kaishiwa nguvu aendesha kampeni kivivu majimbo yako 264 yeye siku moja anafanya Jimbo moja itamchukua miezi 9 kuyamaliza tume imetoa miezi miwili tu kabla ya kura.
Kwa spidi hiyo hatamaliza majimbo 264 ya uchaguzi anaendesha kampeni kwa mwendo wa kuchechemea, hana stamina ya kampeni na tayari anaonyesha kuchoka hasa kimwili, kifikra, kisaikolojia na kipesa.
Kampeni ya Urais tulimwambia sio lelemama au kwa Kiingereza tunamwambia Presidential campain is not a Lele Mother. Ndio maana Magufuli akichoka hupiga push up ku boost mwili tayari kwa awamu inayofuata ya kampeni.