Uchaguzi 2020 Lissu anaendesha kampeni kivivu, siku moja anafanya jimbo moja ilhali majimbo yako 264. Itamchukua miezi 9 kuyamaliza, tume imetoa miezi miwili tu

Uchaguzi 2020 Lissu anaendesha kampeni kivivu, siku moja anafanya jimbo moja ilhali majimbo yako 264. Itamchukua miezi 9 kuyamaliza, tume imetoa miezi miwili tu

Wakiachana watatekwa. Bora waendelee kuambatana mkuu
Lisu na Salum Mwalimu wanambatana kubana matumizi gari iko moja watajigawa vipi na chama hakiko tayari kugharimia magari mawili hakina hela
 
Aliyeshiwa pumzi huyu hapa anayeahidi rushwa ya vyeo kwa wapinzani wake. Yaani Rushwa ndani ya CCM imepevuka hadi mnajaribu kuitoa nje?
IMG-20200901-WA0016.jpg
 
Acha kuingilia shughuli zisizo kuhusu! Hivi wewe hujuwi kama Lissu ana Team ya Kampeni yenye wataalam? Subirini mziki wake mbona bado!
Chadema Kuna wataalamu wa kampeni?Hao wanaoshindwa hata kujenga jukwaa?
 
Mtaga mkiishiwa hoja huwa mnakuwa vituko aisee!😁😁😁!
Sasa huu ni upuuzi gani umeandika?
 
Kwa niliyoyaona singida hakuna sehemu ya kutema mate, ni wazi lissu akate tamaa na kufanya kampeni kivivu.
Tatizo Lisu akiwa mbunge alijikita zaidi siasa za kitaifa akasahsu Singida kwao kuwaletea maendeleo yeye kutwa kuimba MIGA MiGA hivyo hawaoni umuhimu wake kuwa walimpa ubunge hakufanya chochote Kwao Uraisi wampe wa Nini? Ndio maana wako na Magufuli
 
Acha kuingilia shughuli zisizo kuhusu! Hivi wewe hujuwi kama Lissu ana Team ya Kampeni yenye wataalam? Subirini mziki wake mbona bado!
Mkuu #mwanateknolojia hivi huo mziki utaanza lini, maana kila siku tunaambiwa tuusubiri lakini hauanzi
 
Wenye Siasa zao wameingia yaani sisikii lissu wala chasema
Wako busy kutembeza bakuli la michango kwa mtu ambaye hashindi U-rais. halafu utawasikia eti kipato cha watanzania kimeshuka, kama kipato chetu kimeshuka kwa nini Chadema mnatuomba pesa?
 
Wako busy kutembeza bakuli la michango kwa mtu ambaye hashindi U-rais. halafu utawasikia eti kipato cha watanzania kimeshuka, kama kipato chetu kimeshuka kwa nini Chadema mnatuomba pesa?
wengine wanakesha twitter tu
 
Hakuna anayepita majimbo yote ya uchaguzi mkuu.huo ni uwongo mtupu..
 
Back
Top Bottom