Lissu anafanya mahojiano Clouds Media muda huu

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Huyu MTU yuko Gifted sana na Uwanda mkubwa wa Maarifa na akili nyingi .

Ninashauri, Waandishi wawe wanaandaa maswali yao kwanza, wasingoje majibizano na LISSU ndio yawape maswali.

Pia LISSU awe anaitwa Kutoa Hotuba, yaan ahutubie akimaliza waulize maswali yao.

Narudia kusema, kuhojiana na LISSU hakikisha wee ni mwanahabari kwanza Msomi , pili unayesoma mambo mbalimbali sio tu kuzielewa Siasa juu juu.

View: https://www.youtube.com/live/h9cHr7NLIBA?si=khyeTyS42gqOcS7e
 
Hata mie nilianza kusikiliza ila baada ya kugundua Wanahabari wapo shallow na hawamuulizi maswali magumu Lissu nikaamua kuendelea na majukumu mengine.

Lissu ni very bright na darasa tosha Kwa Jamii, inatakiwa mtu awese kuchimba mengi kuanzia harakati zake, malengo yake , kupambanua baina ya Uongozi uliopo Sasa na Nini Cha tofauti ataleta, mtazamo yake katika masuala mbalimbali ya Kisiasa, Kijamii n.k
 
Hua nasema kila siku hatuna waandishi tu ripota wa matukio tu.
 
Hata mie nilianza kusikiliza ila baada ya kugundua Wanahabari wapo shallow na hawamuulizi maswali magumu Lissu nikaamua kuendelea na majukumu mengine.

Lissu ni very bright na darasa tosha Kwa Jamii, inatakiwa mtu awese kuchimba mengi kuanzia harakati zake, malengo yake , kupambanua baina ya Uongozi uliopo Sasa na Nini Cha tofauti ataleta, mtazamo yake katika masuala mbalimbali ya Kisiasa, Kijamii n.k
Kija anauliza maswali ambayo hayaeleweki na kama ana jazba!
 
Huyu MTU yuko Gifted sana na Uwanda mkubwa wa Maarifa na akili nyingi .

Ninashauri, Waandishi wawe wanaandaa maswali yao kwanza, wasingoje majibizano na LISSU ndio yawape maswali.

Pia LISSU awe anaitwa Kutoa Hotuba, yaan ahutubie akimaliza waulize maswali yao.

Narudia kusema, kuhojiana na LISSU hakikisha wee ni mwanahabari kwanza Msomi , pili unayesoma mambo mbalimbali sio tu kuzielewa Siasa juu juu.

View: https://www.youtube.com/live/h9cHr7NLIBA?si=khyeTyS42gqOcS7e

Isee huyo dada amedharirika bure mjuaji na na hajui anataka kuulizavkipi anazani huyo ni mwijaku..
 
Kwa hiyo hatuna wanahabari tamim?Inasikitisha vibaya mnoo.Ridiculous

Changamoto yao ni kuumeza u-CCM badala ya kufocus kwenye kazi zinazowatunza mjini.Very hopeless materials!
Anhaaa!

Sasa nimekuelewa!

Kumbe ni kada wa CCM!

Kinachotakiwa ni ajue kutofautisha hisia na kazi yake. Kwa sababu anachokifanya si kizuri: Anamlazimisha Lissu ataje mazuri ya Mbowe. Anamkatisha mara kwa mara pindi Lissu anapotaja mabaya ya Mbowe au ya CCM.

Nimeelewa sasa anashindwa kutofautisha mapenzi yake kwa CCM na kazi. Huu si utu uzima na siyo ukomavu. Na pia si misingi ya uandishi wa habari.
 
Benjamin Mkapa alipokuwa Rais wa Tanzania aliwahi kuulizwa ni kwa nini hafanyi mahojiano na waandishi wa habari wa Tanzania, jibu lake likawa fupi lakini la kikatili. Alisema "hawana weledi".

Wakati ule niliwaza Sana. Nguli wa tasnia ya uandishi wa habari kama Mkapa kutoa kauli kama ile, inaonesha tatizo ni kubwa.

Leo miaka kadhaa mbele toka Mkapa atoe kauli ile bado tupo pale pale. Nani anayefaidika na aina hii ya uandishi wa habari?
 
Hata mie nilianza kusikiliza ila baada ya kugundua Wanahabari wapo shallow na hawamuulizi maswali magumu Lissu nikaamua kuendelea na majukumu mengine.

Lissu ni very bright na darasa tosha Kwa Jamii, inatakiwa mtu awese kuchimba mengi kuanzia harakati zake, malengo yake , kupambanua baina ya Uongozi uliopo Sasa na Nini Cha tofauti ataleta, mtazamo yake katika masuala mbalimbali ya Kisiasa, Kijamii n.k
Bora Clouds wangemkodi yule Chief Odemba angekiwasha hatari
 
Back
Top Bottom