Ukwelimtupu00
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 289
- 416
Lissu alishawahi Fanya mdahalo na mwandishi nguli wa BBC HARDTALK na bado akatoka imara. Kwa nchi za binadamu timamu wa akili, wanamuona akili kubwa lakini Bongoland anaonekana mbangaizaji na wakataka kumuua. Unadhani hiyo Bongoland ina watu wenye akili timamu kweli!