Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Hua nasema kila siku hatuna waandishi tu ripota wa matukio tu.Huyu MTU yuko Gifted sana na Uwanda mkubwa wa Maarifa na akili nyingi .
Ninashauri, Waandishi wawe wanaandaa maswali yao kwanza, wasingoje majibizano na LISSU ndio yawape maswali.
Pia LISSU awe anaitwa Kutoa Hotuba, yaan ahutubie akimaliza waulize maswali yao.
Narudia kusema, kuhojiana na LISSU hakikisha wee ni mwanahabari kwanza Msomi , pili unayesoma mambo mbalimbali sio tu kuzielewa Siasa juu juu.
View: https://www.youtube.com/live/h9cHr7NLIBA?si=khyeTyS42gqOcS7e
Changamoto yao ni kuumeza u-CCM badala ya kufocus kwenye kazi zinazowatunza mjini.Very hopeless materials!Kija Yunus ana shida gani?
Mbona hamuelewi kabisa Lissu?
Kipindi kahitimisha kama ugomvi?
Huyu mwanamke kwa nini yupo hivyo?
Kija anauliza maswali ambayo hayaeleweki na kama ana jazba!Hata mie nilianza kusikiliza ila baada ya kugundua Wanahabari wapo shallow na hawamuulizi maswali magumu Lissu nikaamua kuendelea na majukumu mengine.
Lissu ni very bright na darasa tosha Kwa Jamii, inatakiwa mtu awese kuchimba mengi kuanzia harakati zake, malengo yake , kupambanua baina ya Uongozi uliopo Sasa na Nini Cha tofauti ataleta, mtazamo yake katika masuala mbalimbali ya Kisiasa, Kijamii n.k
Amejinunisha?Atakufa kwa presha.Atulize boli.Kija anauliza maswali ambayo hayaeleweki na kama ana jazba!
Isee huyo dada amedharirika bure mjuaji na na hajui anataka kuulizavkipi anazani huyo ni mwijaku..Huyu MTU yuko Gifted sana na Uwanda mkubwa wa Maarifa na akili nyingi .
Ninashauri, Waandishi wawe wanaandaa maswali yao kwanza, wasingoje majibizano na LISSU ndio yawape maswali.
Pia LISSU awe anaitwa Kutoa Hotuba, yaan ahutubie akimaliza waulize maswali yao.
Narudia kusema, kuhojiana na LISSU hakikisha wee ni mwanahabari kwanza Msomi , pili unayesoma mambo mbalimbali sio tu kuzielewa Siasa juu juu.
View: https://www.youtube.com/live/h9cHr7NLIBA?si=khyeTyS42gqOcS7e
Isee huyo dada amedharirika bure mjuaji na na hajui anataka kuulizavkipi anazani huyo ni mwijaku..
Anhaaa!Kwa hiyo hatuna wanahabari tamim?Inasikitisha vibaya mnoo.Ridiculous
Changamoto yao ni kuumeza u-CCM badala ya kufocus kwenye kazi zinazowatunza mjini.Very hopeless materials!
Mboga mboga ni kada kabisaKija Yunus ana shida gani?
Mbona hamuelewi kabisa Lissu?
Kipindi kahitimisha kama ugomvi?
Huyu mwanamke kwa nini yupo hivyo?
Bora Clouds wangemkodi yule Chief Odemba angekiwasha hatariHata mie nilianza kusikiliza ila baada ya kugundua Wanahabari wapo shallow na hawamuulizi maswali magumu Lissu nikaamua kuendelea na majukumu mengine.