Lissu anafanya mahojiano Clouds Media muda huu

Huyo mwana mama ana igo ya kiccm,halafu anafikiri anamuhoji diamond kumbe Lisu
Basi amafeli pakubwa!

Anadhani anatetea Chama chake kumbe ndipo anakiharibu na kujivunjia heshima yake yeye.

Anachotakiwa afahamu ni kwamba Lissu akiwa Mwenyekiti wa Chadema, wale wote ambao ni chawa hapo CCM watakosa kazi.

Kwa sababu CCM itahitaji watu wanaotumia akili zaidi kuliko wanaosifu mapambio.

Yeye kajionyesha wazi ni watu wa mapambio.
 
x,insta.fb na huku jf kote aashambuliwa kija wa ujuha wake.. wandishi wa bongo ni uchwara sana hawana hoja
 
CDM chama cha manyumbu kimejaa mbumbumbu... Ndiyo maana Mbowe haoni ulazima wa kuachia kiti...
 
kija yunusi kanyooshwa na vimaswali vyake vya kipimbi james paul alikuwa makini
 
Kija Yunus ana shida gani?

Mbona hamuelewi kabisa Lissu?

Kipindi kahitimisha kama ugomvi?

Huyu mwanamke kwa nini yupo hivyo?
Naongezea jingine ameolewa?

Anaishi na mwanaume kweli?

Maana si kwa utoto huo.
 
Kama imeplaniwa hivyo je kwa lengo maalum?
 
Lissu ni mkweli mno aisee ila naomba Mungu ashindi huyu jamaa
 
Lisu ni genious. Dunia ya leo inahitaji watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiri kabla ya kutenda.
 
Alimkataza Lissu asitaje jina la Abdul na sababu aliyoitoa ni hawana ushahidi.

Lissu akauliza mnataka nitaje viongozi wangu wa Chama wengine hamtaki ni kwa nini?
Baada ya hapo acha anune, alitaka kuzira ni basi tu alikosa namna 😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…