Tunajuaje kuwa huyu amedhulumu? Kuna vigezo tulivyojiwekea vya kuamua kuwa huyu ni dhulumati au la! Kama vigezo hivyo hujavifikia, basi wewe hujadhulumu! We do not entatain guess work on deciding who is a thief! Vigezo hivyo ni SHERIA ZETU! DHANA HAIPATANI NA UKWELI, UNATAKA TUTUMIE DHANA KUAMUA NANI AMEDHULUMU? NO!Lissu anafikiri kuwaacha watu dhulumati kuishi na mali ya dhuluma ni utawala wa sheria na hasa kama mali iliyodhulumiwa ni ya umma. Anataka watu wenye tuhuma za kudhulumu mali ya umma waachiwe toka gerezani kwa kua uchunguzi wa kesi zao
Mkuu ni visasi vya kijinga sana kuamini kila tajiri amedhulumu mali unaanza kumtesa kisa una dola, mpeleke mahakamani na mahakama iamue.Tunajuaje kuwa huyu amedhulumu? Kuna vigezo tulivyojiwekea vya kuamua kuwa huyu ni dhulumati au la! Kama vigezo hivyo hujavifikia, basi wewe hujadhulumu! We do not entatain guess work on deciding who is a thief! Vigezo hivyo ni SHERIA ZETU! DHANA HAIPATANI NA UKWELI, UNATAKA TUTUMIE DHANA KUAMUA NANI AMEDHULUMU? NO!
Lkn Jiqwe atakuja kupata adhabu kubwa kabla hajafa! amewatesa wengi sana kwa visasi!Mkuu ni visasi vya kijinga sana kuamini kila tajiri amedhulumu mali unaanza kumtesa kisa una dola, mpeleke mahakamani na mahakama iamue.
KabisaLkn Jiqwe atakuja kupata adhabu kubwa kabla hajafa! amewatesa wengi sana kwa visasi!
Siasa haitaki hasiraAtapata aibu sana mwaka huu, ana hasira sana.