Lissu anajitangaza kugombea uraisi kupitia Chadema kama nani , taratibu zikoje?

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Tundu Lisu amejitangazia kama ndio mgombea wa chadema katika uchaguzi mkuu ujao wakati bado hajakubaliwa na wenzake chamani.

Huko Chadem hakuna mtu aliwahi kugombea kwa vipindi viwili mfululizo,yeye amejitangaza kama nani ?

Je yupo juu ya chama ,juu ya wote ,yeye amekikamata chama

Vipi kuhusu demokrasia

Yeye Samia anavyojitangaza ni kama nani huko ccm?
 
Mtu mpuuzi huwa haoni aibu kupotosha hata kwa jambo lilizunguzmwa hadharani. Lissu alisema hadharani ataikia nia ya Watanzania na chama. Hata huna akili za kuelewa maana ya hiyo kauli?
Lakini upuuzi huo huo hukuutumia kwa Samia ambaye ameshaanza kampeni na chama kimeahidi fomu ya urais ni moja tu. Wanatumia sheria na katiba ipi ya CCM?
 
Tundu Lisu amejitangazia kama ndio mgombea wa chadema katika uchaguzi mkuu ujao wakati bado hajakubaliwa na wenzake chamani.

Huko Chadem hakuna mtu aliwahi kugombea kwa vipindi viwili mfululizo,yeye amejitangaza kama nani ?

Je yupo juu ya chama ,juu ya wote ,yeye amekikamata chama

Vipi kuhusu demokrasia

USSR
Mbona nami nimejitangaza nitagombea ubunge Geita, kuonesha nia si tatizo tatizo ni uwezo wako kuchanganua mambo.
 
Mbona chura kuna watu wanamtangaza yeye ndiye mgombea, wengine wamefukia hatua ya kuchanga fedha ili zutumike kuchukulia fomu, na wengine wameamua kabisa kumnunulia helcopta ya kufanyia kampeni .
Wakati yeye mwenyewe hajatamka chochote kwani uongozi ni lazima ulazimishwe? Mtu kutamka nia yake kwamba anafikiria kuwa nani sio makosa
 
Tundu Lisu amejitangazia kama ndio mgombea wa chadema katika uchaguzi mkuu ujao wakati bado hajakubaliwa na wenzake chamani.

Huko Chadem hakuna mtu aliwahi kugombea kwa vipindi viwili mfululizo,yeye amejitangaza kama nani ?

Je yupo juu ya chama ,juu ya wote ,yeye amekikamata chama

Vipi kuhusu demokrasia

USSR
Mkuu mbona alivyohojiwa ni tofauti na hitimisho ulilofikia?
Ona video vema,halafu uhariri ulichoandika.
Asante.
 
Tundu Lisu amejitangazia kama ndio mgombea wa chadema katika uchaguzi mkuu ujao wakati bado hajakubaliwa na wenzake chamani.

Huko Chadem hakuna mtu aliwahi kugombea kwa vipindi viwili mfululizo,yeye amejitangaza kama nani ?

Je yupo juu ya chama ,juu ya wote ,yeye amekikamata chama

Vipi kuhusu demokrasia

USSR
Na ndio hawa hawa wanajitangaza eti ni chama cha demokrasia. Ndio maana hata kiongozi wao hatokii.
 
Tundu Lisu amejitangazia kama ndio mgombea wa chadema katika uchaguzi mkuu ujao wakati bado hajakubaliwa na wenzake chamani.

Huko Chadem hakuna mtu aliwahi kugombea kwa vipindi viwili mfululizo,yeye amejitangaza kama nani ?

Je yupo juu ya chama ,juu ya wote ,yeye amekikamata chama

Vipi kuhusu demokrasia

USSR
Mkisha kunywa mipombe yenu michafu mnajiropokea tu bila kuwa na taarifa sahihi. Tundu Lissu aliulizwa na waandishi wa habari kuwa jee atagombea urais 2025 naye akajibu kuwa kama chama chake kikimpitisha atagombea sasa hapo ndiyo kujitangazia kuwa atagombea? CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu.
 
Kwanini watu mnashida ya kusema ukweli hivi mnasukumwa na nini hasa, ina maana unashida ya masikio au unajikata ufahamu au uchawa?. Lisu amesema akipewa ridhaa na chama chake bado dhamira ipo sasa amejitangazia?
 
Back
Top Bottom