Lissu anajitangaza kugombea uraisi kupitia Chadema kama nani , taratibu zikoje?

Lissu anajitangaza kugombea uraisi kupitia Chadema kama nani , taratibu zikoje?

Wewe ni ccm, kwann unaumia kwa maneno ya chadema na watu wake?

Watu wengine bure kabisa
 
Tundu Lisu amejitangazia kama ndio mgombea wa chadema katika uchaguzi mkuu ujao wakati bado hajakubaliwa na wenzake chamani.

Huko Chadem hakuna mtu aliwahi kugombea kwa vipindi viwili mfululizo,yeye amejitangaza kama nani ?

Je yupo juu ya chama ,juu ya wote ,yeye amekikamata chama

Vipi kuhusu demokrasia

USSR
Hukumsikiliza vizuri, ni if wananchi wakitaka. Hajasema atagombea tu bila ridhaa
 
Back
Top Bottom