ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hizo ni tabia na hulka za mtu kama hukuzaliwa kuwa muongeaji itakuwa hivyo na kama ulizaliwa.kuwa ropo ropo utakuwa hivyo hivyoMbowe akiwa Clouds fm leo amesema kuna kikao cha kamati kuu CDM kinachoongozwa na makamu m/kiti Tundu Lissu muda huu pale makao makuu CDM, Mbowe ni mwanademokrasia sana sana, anaheshimu katiba ya chama na mamlaka ya viongozi wenzake, hata kama Lissu anamsema hovyo, lakini Mbowe anaonyesha political tolerance and maturity kubwa sana
Kuna wakati una akili za kuvukia barabara, sina haja hata ya kukujibuLisu alikuwa Ubelgiji kufanya nini kama hakunyamaza?
Baada ya uchaguzi alikimbilia ubalozini kuwapa Kukamatwa ππKuna wakati una akili za kuvukia barabara, sina haja hata ya kukujibu
Kwani Ilitakiwa kiongozwe na nani kama mwenyekiti mbowe akiwa na udhuru?Mbowe akiwa Clouds fm leo amesema kuna kikao cha kamati kuu CDM kinachoongozwa na makamu m/kiti Tundu Lissu muda huu pale makao makuu CDM, Mbowe ni mwanademokrasia sana sana, anaheshimu katiba ya chama na mamlaka ya viongozi wenzake, hata kama Lissu anamsema hovyo, lakini Mbowe anaonyesha political tolerance and maturity kubwa sana
Tatizo uchawa na mihemkoKwa hiyo ulitaka mbiwe amzuie. Aise nyie kweli ni wehu. Katiba inasema kwamna mwenyeketi anaweza kukuzuia? Mbona vijana akili hamna. Au tatizo ni shule
Kufa kwa lissu ndiyo kufa kwa CDM. Wengi tupo CDM kwa influence ya Lissu.Japo siipendi CDM ila hakuna wa kumshinda mbowe pale CDM... Lissu anaenda kufa kisiasa na kiroho very soon... Anyways endeleeni kugombana sisi tunaangalia mwisho wenu mbaya...
You are very right, hakuna kada wa CCM na mpenzi wa vyama vya siasa vingine anayempenda Lissu zaidi ya johnthebarptistJapo siipendi CDM ila hakuna wa kumshinda mbowe pale CDM... Lissu anaenda kufa kisiasa na kiroho very soon... Anyways endeleeni kugombana sisi tunaangalia mwisho wenu mbaya...
Siyo wote huyo jamaa na Yericho Nyerere, Ntobi kanyamaza kwanza anamsubiri Mbowe amrudishie cheo chake tuombe msamahaKwahiyo kuhojiwa na Kijakazi ni muhimu Kuliko Kikao cha kamati Kuu?
Chadema mna UPIMBI sana πΌ
Kwa wapumbavu kweli hiyo ni sifa yake ila kumbuka:Lisu sifa yake kuu ni mihemuko na kuropoka
Ulitaka akamatwe abanguliwe risasi kama Ben Saanane? Naungana na aliyesema umebaki na akili za kuvukia barabaraBaada ya uchaguzi alikimbilia ubalozini kuwapa Kukamatwa ππ
Kwa nini alikimbilia Ubelgiji Kwa Amsterdam? ππ
Sasa shida iko wapi? Maana yake ni furaha yetu CCM kuendelea kuwaburuza wakunja ngumi manyumbu π©π©π©Kufa kwa lissu ndiyo kufa kwa CDM. Wengi tupo CDM kwa influence ya Lissu.
Kwani hapo Cha ajabu ni nn? Lissu na mbowe mpaka sasa Bado ni viongozi wa chadema, asipokuwa mwenyekiti makamu anaongoza, shida nnMbowe akiwa Clouds fm leo amesema kuna kikao cha kamati kuu CDM kinachoongozwa na makamu m/kiti Tundu Lissu muda huu pale makao makuu CDM, Mbowe ni mwanademokrasia sana sana, anaheshimu katiba ya chama na mamlaka ya viongozi wenzake, hata kama Lissu anamsema hovyo, lakini Mbowe anaonyesha political tolerance and maturity kubwa sana
Wengi hawaamini, huo ndo ukweli....Kufa kwa lissu ndiyo kufa kwa CDM. Wengi tupo CDM kwa influence ya Lissu.
baada ya trehe 21 atakuwa mwenyekiti kamiliMbowe akiwa Clouds fm leo amesema kuna kikao cha kamati kuu CDM kinachoongozwa na makamu m/kiti Tundu Lissu muda huu pale makao makuu CDM, Mbowe ni mwanademokrasia sana sana, anaheshimu katiba ya chama na mamlaka ya viongozi wenzake, hata kama Lissu anamsema hovyo, lakini Mbowe anaonyesha political tolerance and maturity kubwa sana
Ndio mjue jamaa hawana mgogoro ila wametengeneza stori na wamefanikiwa kuteka media. Yaani sasa hivi ni Chadema kila kona hadi kichefuchefu. Ukifingua gazeti ni chadema, tv na redio chadema, social media chadema khaaa.Mbowe akiwa Clouds fm leo amesema kuna kikao cha kamati kuu CDM kinachoongozwa na makamu m/kiti Tundu Lissu muda huu pale makao makuu CDM, Mbowe ni mwanademokrasia sana sana, anaheshimu katiba ya chama na mamlaka ya viongozi wenzake, hata kama Lissu anamsema hovyo, lakini Mbowe anaonyesha political tolerance and maturity kubwa sana
Kwahiyo wanamuachaga aongoze kikao cha kamati kuu mtu mropokaji mwenye mihemko??Lisu sifa yake kuu ni mihemuko na kuropoka
ππAnafanya rehearsal ya mwishobaada ya trehe 21 atakuwa mwenyekiti kamili