Lissu anaongoza kikao muda huu, Mbowe is real democratic!

Lissu anaongoza kikao muda huu, Mbowe is real democratic!

Mbowe haogopi mtu ila anaheshimu demokrasia, na ana respect mamlaka ya viongozi wenzake kama katiba ya Chadema inavyotaka
Kiongozi asiyeheshimu viongozi wenzake huyo ni wa hivyo tu.
 
Haahaa Hilo ajibu wenje na Ntobi
Inashangaza sana. Ujue , sawa Lissu anaweza akashindwa ila kiukwel wapinzani wa Lissu hawajajipanga sawa sawa kumkabil kwa hoja ambazo mtu mwenye akili akisikiliza anaqeza akaelewa. This includes Mbowe, bado hajawa na hoja zenye mashiko kumkabil Lissu.

Mfano ,kusema kuwa Lissu anaongoza kikao muda huu, ina sound kama amefanya hivyo kwa kuonewa huruma wakat huu ni wajibu wa kikatiba endapo mwenyekit hayupo, sasa why wanataka aichukulie advantage hii kitu??
 
Kama anaweza kuendesha kikao bila mwenyekiti, basi apewe wenyekiti maana ana uzoefu.
Mbowe atakuwa kamwachia makusudi akione cha moto ndani ya hicho kikao

Atakuwa kasema makamu mwenyekiti ndie ataongoza ili wamkaange barabsra bila yeye Mbowe kuwepo

Ili wamkaange barabara

Tutarqjie Lisu kutoka kwenye kikao kanywea kama piriton

Mbowe ni mwanasiasa anajua kucheza michezo ya kisiasa
 
Kwani kinacho endelea hapo ni kwamba lisu anatimiza wajibu wake kama makamu mwenyekiti cha ajabu hasa ni nini hapo 🤔
 
Mbowe akiwa Clouds fm leo amesema kuna kikao cha kamati kuu CDM kinachoongozwa na makamu m/kiti Tundu Lissu muda huu pale makao makuu CDM, Mbowe ni mwanademokrasia sana sana, anaheshimu katiba ya chama na mamlaka ya viongozi wenzake, hata kama Lissu anamsema hovyo, lakini Mbowe anaonyesha political tolerance and maturity kubwa sana
Sana namkubali sana jamaa very matured
 
Japo siipendi CDM ila hakuna wa kumshinda mbowe pale CDM... Lissu anaenda kufa kisiasa na kiroho very soon... Anyways endeleeni kugombana sisi tunaangalia mwisho wenu mbaya...
Mbona unaweweseka?
 
Kategeshewa ili akaangwe na wajumbe wa kamati kuu na yeye kaingia kichwa kichwa atawakoma

Lisu hazimo kichwani
KIla kikao kina mwongozo, muhtasari na agenda za kikao. Na haya yoote sio ya mwenyekiti au makam, yeye ana moderate tu. So kinachojadiliwa kwenye kikao cha sasa (kama sio cha dharura) kinatoka kwenye "yatokanayo" na kikao kilichopita , hivyo agenda za leo nyingi zinakua waz. Halaf kuna mengineyo ,hapa ndio kuna hoja mpya mpya.

Sasa watamkaanga kwa namna gani na anajua kila kitu in prior kuhusu kikao anachoki chair?
 
FAM anatapa tapa na watu wa ndani wa chama wanamsifia kwa kumng'ong'a tu ila hawamkubali.
Hapana mkuu. Historia ya siasa za Tanzania haiwezi kumwondoa mbowe katika mapambano ya kupambania wanachokipambania. Na wanaosema kwamba mbowe amefanya kazi kubwa kweli wapo sahihi. Isipokuwa mbowe aliyeenda jela na aliyetoka jena na kujisalimisha kwa mama ni watu wawili tofauti. Hapo ndipo mbowe angesoma nyakati na alama zake na kuwaachia wengine. Sasa amekataa, hapo ndipo majina kibao ya dhihaka yakazuka. Mara wamwite Ayatola, mara museveni mara...
 
Mbowe atakuwa kamwachia makusudi akione cha moto ndani ya hicho kikao

Atakuwa kasema makamu mwenyekiti ndie ataongoza ili wamkaange barabsra bila yeye Mbowe kuwepo

Ili wamkaange barabara

Tutarqjie Lisu kutoka kwenye kikao kanywea kama piriton

Mbowe ni mwanasiasa anajua kucheza michezo ya kisiasa
Wewe mbwiga kwani wakati Mbowe yuko gerezani nani alikuwa mwenyekiti? Wachumba wa mbowe mna ujinga mwingi sana.
 
Inashangaza sana. Ujue , sawa Lissu anaweza akashindwa ila kiukwel wapinzani wa Lissu hawajajipanga sawa sawa kumkabil kwa hoja ambazo mtu mwenye akili akisikiliza anaqeza akaelewa. This includes Mbowe, bado hajawa na hoja zenye mashiko kumkabil Lissu.

Mfano ,kusema kuwa Lissu anaongoza kikao muda huu, ina sound kama amefanya hivyo kwa kuonewa huruma wakat huu ni wajibu wa kikatiba endapo mwenyekit hayupo, sasa why wanataka aichukulie advantage hii kitu??
Kwanza umeziona sera za mbowe?
 
Ndio mjue jamaa hawana mgogoro ila wametengeneza stori na wamefanikiwa kuteka media. Yaani sasa hivi ni Chadema kila kona hadi kichefuchefu. Ukifingua gazeti ni chadema, tv na redio chadema, social media chadema khaaa.
Nimecheka sana leo eti muongozaji wa wanaomhoji Mbowe ni Fatma aka DJ Fetty!!!
Nikajisemea leo MaDJ wamekutana.
 
Mbowe akiwa Clouds fm leo amesema kuna kikao cha kamati kuu CDM kinachoongozwa na makamu m/kiti Tundu Lissu muda huu pale makao makuu CDM, Mbowe ni mwanademokrasia sana sana, anaheshimu katiba ya chama na mamlaka ya viongozi wenzake, hata kama Lissu anamsema hovyo, lakini Mbowe anaonyesha political tolerance and maturity kubwa sana
Mbowe is not democtatic as such; but very intelligent. Mbowe ni mtu mmoja ana hekima ambayo iko above average; kila siku huwa nasema
 
Wasio mtaka mbowe ni wakunja ngumi manyumbu 💩💩 wapo kwenye mageto ya waume za dada zao... Hamumtaki mbowe wakat hamna hata kadi ya chama...
CCM daima
 
Mbowe akiwa Clouds fm leo amesema kuna kikao cha kamati kuu CDM kinachoongozwa na makamu m/kiti Tundu Lissu muda huu pale makao makuu CDM, Mbowe ni mwanademokrasia sana sana, anaheshimu katiba ya chama na mamlaka ya viongozi wenzake, hata kama Lissu anamsema hovyo, lakini Mbowe anaonyesha political tolerance and maturity kubwa sana
Si amechagua kwenda kufanya kipindi, au alitaka iweje?
 
Back
Top Bottom