Lissu anaongoza kikao muda huu, Mbowe is real democratic!

Humo kwenye kikao kakwepa udhalili
 
Kwa hiyo ulitaka mbiwe amzuie. Aise nyie kweli ni wehu. Katiba inasema kwamna mwenyeketi anaweza kukuzuia? Mbona vijana akili hamna. Au tatizo ni shule
Tatizo ni shule ndugu yangu
 
Lissu kiongozi mzuri, lkn gari la maria na masharti ya maria kwa lissu ndi amekuwa vile
 
Demokrasia ni matendo si maneno,, aachie ngazi.. miaka 30 ni Mingi.... "afu wamesahau, wao ndo walikuwa wanamuita chuma anampango wa kung'anga'nia madaraka, kumbe yeye ndo king'ang'a"
 
Mwambie babu Mbowe muda wa yeye kupumzika umefika
 
Mbowe ni mtu muungwana sana.
 
Japo nilikuwa nampenda Lissu kwenye Urais lakini kwenye umwenyekiti wa chama chetu hapana aisee!
 
Hakuna cha kumsifia Mbowe hapo maana ndo matakwa ya KATIBA yao, hicho ndo kinachostahili kufanyika..
 
Anamsema hovyo kivipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…