Tundu Lissu: Changieni baraza kuu, changieni chama cha Ukombozi

Tundu Lissu: Changieni baraza kuu, changieni chama cha Ukombozi

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Kauli ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu baada ya kuingia mahakamani ambapo leo anatarajiwa kuendelea kuuliza maswali ya dodoso kwa mashahidi kwenye shauri la kikatiba na 7300/2026 lililofunguliwa Mawakili Kulwa Maduhu, Nashon Nkung na Paul Kisabo ambao wanalalamikia kuzuiwa kuingia gereza la Ukonga na kushindwa kupata faragha ya mazungumzo na mteja wao(Lissu) walipofanikiwa kuingia.

Baada ya kumaliza dodoso la jana kwa kwa shahidi wa kwanza ambae ni Maduhu leo shauri hilo lililopo mbele ya jopo la Majaji watatu (3) ambao ni Amir Mruma, Dkt. Angelo Rumisha na Dkt. Evaristo Longopa litaendelea kwa maswali ya dodoso pande zote.



 
Kuchangia Chama cha ukombozi kutoka kwa nani!!!

Kama CCM ni wakoloni

Vip Chadema nawao sio Wakoloni wapyaa

Ktk Africa ni wapi Wapinzani waliingia Ikulu na Wananchi wakapata Ukombozi
wakimaendeleo??

Au lengo kumtoa mkoloni na kumwingiza mkoloni mwengine kwa gharama za Wananchi wenyewe ☠️☠️ mwenzenu
Sijala ndio Mkombozi ‼️
au ni Heche uyu uyu 👈
 

Attachments

  • Screenshot 2026-07-04 012338.png
    Screenshot 2026-07-04 012338.png
    472.8 KB · Views: 20
  • Screenshot_20250903-155409.jpg
    Screenshot_20250903-155409.jpg
    115.5 KB · Views: 17
Kauli ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu baada ya kuingia mahakamani ambapo leo anatarajiwa kuendelea kuuliza maswali ya dodoso kwa mashahidi kwenye shauri la kikatiba na 7300/2026 lililofunguliwa Mawakili Kulwa Maduhu, Nashon Nkung na Paul Kisabo ambao wanalalamikia kuzuiwa kuingia gereza la Ukonga na kushindwa kupata faragha ya mazungumzo na mteja wao(Lissu) walipofanikiwa kuingia.

Baada ya kumaliza dodoso la jana kwa kwa shahidi wa kwanza ambae ni Maduhu leo shauri hilo lililopo mbele ya jopo la Majaji watatu (3) ambao ni Amir Mruma, Dkt. Angelo Rumisha na Dkt. Evaristo Longopa litaendelea kwa maswali ya dodoso pande zote.
Leo nitatuma tena mchango wangu. Hakika wewe ni tunu ya Tanzania. Kusudi la Mungu kwa watanzania litadhihirika kupitia wewe Tundu Antipas Lissu
 
Chama cha ukombozi kutoka kwa nani!!!

Kama CCM ni wakoloni

Vip Chadema nawao sio Wakoloni wapyaa

Ktk Africa ni wapi Wapinzani waliingia Ikulu na Wananchi wakapata Ukombozi
wakimaendeleo??

Au lengo kumtoa mkoloni na kumwingiza mkoloni mwengine kwa gharama za Wananchi wenyewe ☠️☠️👈
Aisee kama haya ndo mawazo yako basi tuna kazi kubwa sana
 
Chama cha ukombozi kutoka kwa nani!!!

Kama CCM ni wakoloni

Vip Chadema nawao sio Wakoloni wapyaa

Ktk Africa ni wapi Wapinzani waliingia Ikulu na Wananchi wakapata Ukombozi
wakimaendeleo??

Au lengo kumtoa mkoloni na kumwingiza mkoloni mwengine kwa gharama za gWananchi wenyewe ☠️☠️👈
Kwani ukiacha kuliwa na Abdul utapungukiwa nini wewe mdogoee
 
Chama cha ukombozi kutoka kwa nani!!!

Kama CCM ni wakoloni

Vip Chadema nawao sio Wakoloni wapyaa

Ktk Africa ni wapi Wapinzani waliingia Ikulu na Wananchi wakapata Ukombozi
wakimaendeleo??

Au lengo kumtoa mkoloni na kumwingiza mkoloni mwengine kwa gharama za Wananchi wenyewe ☠️☠️👈
Kwa jinsi mnavyoteka raia na wizi mnaoufanya kwenye rasilimali zetu hata mkoloni hawafikii
 
CHADEMA n mpango wa Mungu

Tundu.lisu n ndye yule tuliyekuwa tumkimsubiri kwa miaka.mingi kwa ukomboz wa tanganyika tuitakayo

Hii.kitu mnayoiita TANZANIA ndio ukandamizaji unapoanzia na CCM walipojifichia kutuumiza.
 
Wakati anafikishwa mahakamani leo hii21.7.2026 MH Lissu ametuhimiza sisi watanzania tukuchangie cdm maana ndiyo chama pekee cha kuwakomboa watanzania.

Huu ni ujumbe muhimu sana kwa watanzania wote wanaopitia tanuru la moto mkali kutoka kwa CCM.
 
Kuchangia Chama cha ukombozi kutoka kwa nani!!!

Kama CCM ni wakoloni

Vip Chadema nawao sio Wakoloni wapyaa

Ktk Africa ni wapi Wapinzani waliingia Ikulu na Wananchi wakapata Ukombozi
wakimaendeleo??

Au lengo kumtoa mkoloni na kumwingiza mkoloni mwengine kwa gharama za Wananchi wenyewe ☠️☠️ mwenzenu
Sijala ndio Mkombozi ‼️
au ni Heche uyu uyu 👈
Kwa hatua tuliyofikia, ni bora tukawajaribu na wapinzani ili ccm wakae pembeni wajipange upya. Tukiendelea na hii ccm iliyotekwa na wahuni, mafisadi na majangili; hii nchi yote itadumbukia shimoni miaka michache ijayo.
 
Naomba kujua michango Chadema wanayoitaka ni ya kutumika kwenye nini?
Tate Mkuu CHIEF PRIEST
Ni kwa ajili ya uendeshaji wa shughuli za chama. Nb: mimi siyo mwanachama wa CHADEMA. Hapa nilipo nina kadi ya ccm kwa sababu ya kulazimishwa tu kuwa nayo. Mimi ni mpenda mabadiliko tu na mzalendo kwa nchi yangu ya Tanganyika.
 
Kwa hatua tuliyofikia, ni bora tukawajaribu na wapinzani ili ccm wakae pembeni wajipange upya. Tukiendelea na hii ccm iliyotekwa na wahuni, mafisadi na majangili; hii nchi yote itadumbukia shimoni miaka michache ijayo.
Kama wafanyavyo UK kila leo wanabadilisha waziri mkuu aidha kwa uchaguzi au kujiuzuru
 
Back
Top Bottom