Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Tumbo la moto la nini? Huu si uchaguzi? Kuna kushinda na kushindwa?Oyaaa oyaaa ni aibukwa Timu Mbowe...
Katibu Mkuu siakataka Wajumbe wapendekeze nani anakua mwenyekiti.
Timu Mbowe wakapendekeza DICKSON MATATA.
TIMU LISSU Wakapendekeza FRANK MWAKAJOKA.
Baada ya hapo, Si ikabidi Kura zipigwe ili Mwenyekiti wa Uchaguzi ajulikane.
Oyaaa oyaaaa Timu LISSU a.k.a MWAKAJOKA KASHINDA KWA KISHINDO CHA TRUMP.
Timu Mbowe matumbo joto, Kuna Mjumbe Mmoja wa Timu Mbowe akaanzisha Fujo, ikabidi KM MKUU MNYIKA aingilie Kati.
Dickson Matata sitamlaum sana ameteulkwa kama Wakili kwa sifa yake.Oyaaa oyaaa ni aibukwa Timu Mbowe...
Katibu Mkuu siakataka Wajumbe wapendekeze nani anakua mwenyekiti.
Timu Mbowe wakapendekeza DICKSON MATATA.
TIMU LISSU Wakapendekeza FRANK MWAKAJOKA.
Baada ya hapo, Si ikabidi Kura zipigwe ili Mwenyekiti wa Uchaguzi ajulikane.
Oyaaa oyaaaa Timu LISSU a.k.a MWAKAJOKA KASHINDA KWA KISHINDO CHA TRUMP.
Timu Mbowe matumbo joto, Kuna Mjumbe Mmoja wa Timu Mbowe akaanzisha Fujo, ikabidi KM MKUU MNYIKA aingilie Kati.
HawachajachakachuaBaada ya hapo, Si ikabidi Kura zipigwe ili Mwenyekiti wa Uchaguzi ajulikane.
Bado , Leo lazima macho yawe mekundu kwelikweli Kwa kipigo tunachoenda kuwapa.Tumbo la moto la nini? Huu si uchaguzi? Kuna kushinda na kushindwa?
Amandla...
Kwa hatua hii wameshindwaHawachajachakachua
Mtapigwa Leo kisawasawaKipimo cha ushindi wa Lissu kitaanza kesho. Honeymoon haitadumu milele.
Amandla...
Teeena mizizi mpk matawi vyooote vitokeKing'ang'anizi lazima ang'olewe
Itakuwa wanafata katiba yaoSasa Mwenyekiti anakuwaje na upande si ndio chanzo cha vurugu.