Lissu anataka kugombea Urais na Mbowe inasemekana anataka kugombea Uenyekiti na Urais. Hawa watu dola iingilie kati

Hivi Mbowe kasoma wapi?
 
Tangaza nia ya kugombea uenyekiti uone kama sumu inaonjwa kwa ulimi.
Unamkumbuka Chacha Wangwe (rip)?
Hawa vijana wa juzi tu ,hawana historia ya mzee mbowe na chadema kwa ujumla ,sidhani kama hata wanajua kuwa mzee mbowe alishagombeaga Urais wa JMT na kupata kura laki saba tu .Hizo kura laki saba alipata pale kilimanjaro na Arusha.
 
Napingana na wewe mf mmoja tu wao kuonesha nia ya kugombea urais sio uchu wa madaraka ni uhuru na demokrasia ndani ya chana tofauti na chama chako ambapo uhuru huo haupo au unabinywa
 
Nawe si unaropoka tu kama kichaaa Lissu

..umesema Lissu ni wakala wa mabeberu.

..nimeuliza kama Mama Abduli ni wakala wa Waarabu.

..Nimeuliza. Sijasema kama alivyofanya wewe.
 
Hilo liko wazi kabisa. Pesa za mikutano yake hapewi na chadema, anatoa kwa wazungu, akina rob amster.

..fedha za kununua pikipiki Mama Abduli ametoa wapi? Au kuna mali za Watanganyika ameuza, au kuweka rehani?
 
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…