Lissu anataka kugombea Urais na Mbowe inasemekana anataka kugombea Uenyekiti na Urais. Hawa watu dola iingilie kati

Mkuu hiyo ni kawaida! Kuna vikao katika Chama chao vitakavyokaa kuchuja majina na kupitisha jina moja la mgombea atakayepeperusha bendera ya chama chao!
Usisahau 2015 wanachama wa CCM wapatao 50(kama sikosei) walichukua fomu kuwania Urais kupitia chama hicho!
Baada ya vikao vya Kamati Kuu,Halmashauri Kuu na Mkutano mkuu kukaa walimpitisha JPM.
 
Utashangaa unalipwa kwa huu ujinga.
 
Akili za m bongo kama za, ku ku aisee! Samia anauza mbuga zetu,wewe unataka dola ishughurike na watu binafsi!
 
Wanakusanya kodi? ndio wanafanya life kuwa gumu kwa Raia?
 
Siyo kura laki saba jamani wengine tulikuwepo hizo laki saba zilikuwa za Mrema mbowe alikuwa mshindi wa ya tatu wakwanza mkapa wa pili lipumba na watatu alikuwa ni mbowe
Hawa vijana wa juzi tu ,hawana historia ya mzee mbowe na chadema kwa ujumla ,sidhani kama hata wanajua kuwa mzee mbowe alishagombeaga Urais wa JMT na kupata kura laki saba tu .Hizo kura laki saba alipata pale kilimanjaro na Arusha.
 
Kazi inakuzidi hii ya Uchawa wa CCM,achana nayo..kauze in.ya dogo..uko chini ya kiwango mno
 
Lissu amerudi akiwa mzima na amejua mbaya wake kisiasa ni Mbowe,Lissu ni mtu makini na hamuogopi Mbowe sababu lissu akisema anagombea uwenyekiti Mbowe atatema bungo
 
Lissu amerudi akiwa mzima na amejua mbaya wake kisiasa ni Mbowe,Lissu ni mtu makini na hamuogopi Mbowe sababu lissu akisema anagombea uwenyekiti Mbowe atatema bungo
Msimlishe maneno Mbowe, kasema anagombea? Na unadhani ni kama ccm? CCM wangapi wamesema wanagombea? Democracy!
 
Uzushi hautakuondolea huo umasikini wako
 
Lissu amerudi akiwa mzima na amejua mbaya wake kisiasa ni Mbowe,Lissu ni mtu makini na hamuogopi Mbowe sababu lissu akisema anagombea uwenyekiti Mbowe atatema bungo
Wana kazi Sana huko ufipa
 
Kila chama kina utaratibu wake watayamalizana wenyewe ndani ya chama


Kama ilivyo kwa ccm wanadai wakati wa kupitisha mgombea watatumia staili ya demokrati kumshawishi Biden wao asigombee tena

Sisi wananchi hatuna tunasubiri yoyote
Watayemleta
Cdm ili apambee na hariss kamara wa ccm tutampigia kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…