Lissu anataka kugombea Urais na Mbowe inasemekana anataka kugombea Uenyekiti na Urais. Hawa watu dola iingilie kati

Hawa sidhan Kama wataweza kuyamaliza maana naona mafahar wawili na wote Wana uchu wa madaraka
 
kazi yako ni kumreport ili achukuliwe hatua sio kumtisha.

Humu yanaandikwa mengi kuhusu Serikali,CCM na watu binafsi je yote huwa yana ushahidi.
Mm nawashauri wasuluhishwe hawa watu Sasa ananireport kivipi kwani haoni migogolo ipo wazi kabisa, huyu Erythrocyte anadharau Sana amekazania mm ni maskini Kwan ameniomba hela ya matumizi nikamnyima after all umaskini wangu unamhusu nini, NARUDIA aache upumbavu wake
 
Attachments

  • 20240506_091732.jpg
    88.9 KB · Views: 2
  • qa7zpp.jpg
    66.1 KB · Views: 2
AMEKUSIKIA ATAHAMIA CCM
 
Walishakubalia kuwa: Mbowe agombee Nafasi ya M/kiti Taifa na Lissu atagombea U-Rais Tz. Ndio maana Lissu kawa wazi kabisa kuwa hatagombea nafasi ya Uenyekiti Taifa, lakini kaweka wazi kabisa kuwa atagombea U-Rais TZ- 2025.
 
Walikubaliana wapi na lini, je! Kamati kuu inalijua hilo Jambo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…