funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,468
- 31,952
Naona utetezi wake unajikita katika kuitisha mahakama na hakimu eti EU watatukemea kuhusu kesi yake. This is a professional misconduct na lazima ikemewe.
Ni vyema utetezi wake ujikite kwenye sheria za nchi na sio opinion za EU au kelele za wanaharakati.
Ni vyema utetezi wake ujikite kwenye sheria za nchi na sio opinion za EU au kelele za wanaharakati.