Ulielewa lakiniNaona utetezi wake unajikita katika kuitisha mahakama na hakimu eti EU watatukemea kuhusu kesi yake.
This is a professional misconduct na lazima ikemewe.
Ni vyema utetezi wake ujikite kwenye sheria za nchi na sio opinion za EU au kelele za wanaharakati.
Tunaposema lile ni likabaraka muwe mnatuelewa. Ningekuwa na mamlaka ningeighailisha kesi yake kwa miaka kumi bila dhamana.Naona utetezi wake unajikita katika kuitisha mahakama na hakimu eti EU watatukemea kuhusu kesi yake.
This is a professional misconduct na lazima ikemewe.
Ni vyema utetezi wake ujikite kwenye sheria za nchi na sio opinion za EU au kelele za wanaharakati.
Hiki ni kiwango cha chini kabisa cha uelewa wa mambo hapa jf. Kwa bahati mbaya sana huo uwezo huna na hutakuwa nao maisha yako yote utabaki kuwa CHAWATunaposema lile ni likabaraka muwe mnatuelewa. Ningekuwa na mamlaka ningeighailisha kesi yake kwa miaka kumi bila dhamana.
Sioni tatizo wakati na ccm hutumia mahakama na jeshi la policcm kumkandamiza. Mbona hata nyinyi hamjatumia sheria kumkamata.Naona utetezi wake unajikita katika kuitisha mahakama na hakimu eti EU watatukemea kuhusu kesi yake.
This is a professional misconduct na lazima ikemewe.
Ni vyema utetezi wake ujikite kwenye sheria za nchi na sio opinion za EU au kelele za wanaharakati.
Ulielewa lakini
Mleta thread angeingia "yu tube" akasikiliza hiyo kesi ya Mh Lissu hata kwa dk 5 tu, angeelewa msingi wa hoja ya "Mhaini" Lissu...shida AKILI hiyo hanaUlielewa lakini
Hayo madaraka huwezi kuyapata kwa akili za aina hiiTunaposema lile ni likabaraka muwe mnatuelewa. Ningekuwa na mamlaka ningeighailisha kesi yake kwa miaka kumi bila dhamana.
Wasichokijua ni kwamba wanajifedhehesha wenyewe waliitangazia dunia hapa kwamba mbowe gaidi. Kisha hao hao wakataka mbowe awe mwenyekiti wa Chadema?Mleta thread angeingia "yu tube" akasikiliza hiyo kesi ya Mh Lissu hata kwa dk 5 tu, angeelewa msingi wa hoja ya "Mhaini" Lissu...shida AKILI hiyo hana
Naona utetezi wake unajikita katika kuitisha mahakama na hakimu eti EU watatukemea kuhusu kesi yake.
This is a professional misconduct na lazima ikemewe.
Ni vyema utetezi wake ujikite kwenye sheria za nchi na sio opinion za EU au kelele za wanaharakati.
Sasa wewe unaona pale Kuna kesi,au upuuziNaona utetezi wake unajikita katika kuitisha mahakama na hakimu eti EU watatukemea kuhusu kesi yake. This is a professional misconduct na lazima ikemewe.
Ni vyema utetezi wake ujikite kwenye sheria za nchi na sio opinion za EU au kelele za wanaharakati.