Lissu Anaungwa Mkono na Watu Wababaishaji wasio na Ushawishi wala kukubalika kwa Jamii

CHADEMA wanapokea Ruzuku kwa hiyo kila mtanzania ana haki na uhuru wa kujadili mambo ya kisiasa ya vyama vyote vyenye usajili na vinavyotambulika na kuendeshwa kwa mujibu wa sheria
Kujadili sawa lakini si kuwapangia, ww kama hata hujui kodi kiasi gani unachangia serikalini , unawezaje kuwapangia cha kufanya? Tuliza komwe bro
 
Kuna watu wanafanya Maria space na kumyweshwa sumu miaka na miaka wanasema chadema akiondoka lissu kunabaki hamna kitu wtf bro .Chama kinaonekana umekikuta mikononi mwa watu unadunda unavaaa tshirt unaonekana mjanja town alafu hawa watu unawaona ni wajinga waliojenga chama kisa kauli za mtu mmoja.Unatukana Viongozi Ambao wanye dhamana mpaka kikafika hapo.
 
Ni ajabu sana chawa waandamizi wa ccm Lucas Mwashambwa , Tlaatlaah na chiembe wamekuwa vocalists wa Mbowe, wanamtetea Mbowe utadhani anawalipa.

Kila uchwao wanapandisha nyuzi za kumpinga Lissu, huko ccm hamtosheki nako?
 
Lisu anakukojoza Sana ndio maana haipiti muda bila kumuanzishia mada, shida ni kwamba yeye Hana time na bwabwa kama wewe
 
Lissu kama anajiona yeye ndiye anaibeba CHADEMA basi ajaribu kuondoka leo CHADEMA aone kama kuna mtu hata mmoja atakaye mfuata nyuma.
 
Lisu anakukojoza Sana ndio maana haipiti muda bila kumuanzishia mada, shida ni kwamba yeye Hana time na bwabwa kama wewe
Naona umepaniki mpaka umechanganyikiwa.lakini mimi naendelea kutwanga na kushusha NONDO nzito nzito tu mpaka uchanganyikiwe kabisa.
 
Ni ajabu sana chawa waandamizi wa ccm Lucas Mwashambwa , Tlaatlaah na chiembe wamekuwa vocalists wa Mbowe, wanamtetea Mbowe utadhani anawalipa.

Kila uchwao wanapandisha nyuzi za kumpinga Lissu, huko ccm hamtosheki nako?
Gentleman you are wrong,

binafsi ni mtaalamu na mwanasiasa mbobevu na muandamizi katika siasa za vyama,

infact,
kinachofanyika hata na hao ulowatag,
ni kueleza mazingira yanayojiri ndani ya uchaguzi wa chadema ilogawanyika.

Na hiyo kazi ni ya kitaalamu labda ndio maana unasema mimi na hao wangwana wengine tupo vocal sana kuuesmea uchaguzi huo. Na hiyo ni kwasababu tuko na bidii na tupo na access kubwa sana ya kujua na kuelewa mambo ya ndani zaidi hususan kwa wale wanaotarajiwa kugombea nafasi ya uenyekiti Taifa.

Na hakuna nia mbaya kabisa, tunafanya haya kwa nia njema zaidi ya kujifunza na kuelewa zaidi siasa ndani ya vyama mbalimbali vya siasa.

So,
usipotoshe wadau gentleman tafadhali sana 🐒
 
Kwanini ya chadema yanawaumiza sana?

Kama haingii mkono wewe inakuuma nini si ni faida huko kwenu?
 
Wala hujakosea mwashambwa CCM Daima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…