Lissu Anaungwa Mkono na Watu Wababaishaji wasio na Ushawishi wala kukubalika kwa Jamii

CHADEMA wanapokea Ruzuku kwa hiyo kila mtanzania ana haki na uhuru wa kujadili mambo ya kisiasa ya vyama vyote vyenye usajili na vinavyotambulika na kuendeshwa kwa mujibu wa sheria
Kujadili sawa lakini si kuwapangia, ww kama hata hujui kodi kiasi gani unachangia serikalini , unawezaje kuwapangia cha kufanya? Tuliza komwe bro
 
Kuna watu wanafanya Maria space na kumyweshwa sumu miaka na miaka wanasema chadema akiondoka lissu kunabaki hamna kitu wtf bro .Chama kinaonekana umekikuta mikononi mwa watu unadunda unavaaa tshirt unaonekana mjanja town alafu hawa watu unawaona ni wajinga waliojenga chama kisa kauli za mtu mmoja.Unatukana Viongozi Ambao wanye dhamana mpaka kikafika hapo.
Ndugu zangu Watanzania,

Ukiangalia aina ya watu wanaomuunga mkono lissu unabakia unasikitika,kushangaa na kucheka sana.ni watu wababaishaji,wasiojitambua ,wasio na ushawishi ndani ya chama na nje ya chama. Ni watu wenye taswira Mbaya sana kwa jamii na wasiokubalika wala kuungwa mkono kwa matendo na kauli zao.

Ni watu ambao hawawezi kukaa na mwenye akili Timamu na anayejitambua wakafanya majadiliano au mashauriano ya jambo fulani. Ni watu ambao hawaeleweki wala kuelewa kitu chochote kile .hawana adabu wala staha wala hekima ya midomo yao.ni watu ambao wakifungua vinywa vyao unapata aibu ya kuendelea kusikiliza wanachozungumza.

Waswahili wanasema ya kuwa ukitaka kumjua mtu vizuri basi angalia watu waliomzunguka au watu wanaomuunga mkono au watu anaoshinda nao na kushirikiana nao. Kwa sababu ndege wafananao huruka pamoja. Mtu mwenye hekima ,busara ,staha na mwenye ushawishi kwa watu ni lazima utaona akizungukwa na watu wenye akili ,hekima,busara ,maarifa,ushawishi ,makini na wenye utulivu.

Lakini kinyume chake ni kuwa ni rahisi sana kukuta mtu aliyekosa hekima,adabu,ushawishi ,biashara ,akili,kujitambua akizungukwa na watu wa Hovyo hovyo wababaishaji,wenye mihemuko ,watukana matusi utafikiri vichaa au wendawazimu au wagonjwa wa akili.

Ni ngumu kukuta Mchungaji na Mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu akiwa amezungukwa na kuambatana muda wote na walevi,wavuta bangi ,watumiaji wa madawa ya kulevya ,wahuni wahuni na watu wa Hovyo hovyo.kwa sababu hata hao walevi na wahuni wahuni na wavuta bangi ni lazima waogope hata kumsogelea kwa sababu ya tabia zao mbaya na mienendo yao mibaya ambayo wanajua ni aibu kwa jamii na mbele za watu waliostaarabika.hata Nnzi hawakai pasafi bali hufuata penye uvundo na uchafu.

Kwa hiyo Lissu alitakiwa kujitathmini na kujiuliza hata kabla ya kuingia kwenye sanduku la kura kwamba ni kwanini hauungwi mkono na viongozi wenzake wenye ushawishi ndani ya chama? Kwanini wote wanamkimbia na kuogopa hata kujinajibisha au kujihusisha naye au kuonekana naye hadharani?

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ni ajabu sana chawa waandamizi wa ccm Lucas Mwashambwa , Tlaatlaah na chiembe wamekuwa vocalists wa Mbowe, wanamtetea Mbowe utadhani anawalipa.

Kila uchwao wanapandisha nyuzi za kumpinga Lissu, huko ccm hamtosheki nako?
 
Lisu anakukojoza Sana ndio maana haipiti muda bila kumuanzishia mada, shida ni kwamba yeye Hana time na bwabwa kama wewe
 
Lissu kama anajiona yeye ndiye anaibeba CHADEMA basi ajaribu kuondoka leo CHADEMA aone kama kuna mtu hata mmoja atakaye mfuata nyuma.
 
Lisu anakukojoza Sana ndio maana haipiti muda bila kumuanzishia mada, shida ni kwamba yeye Hana time na bwabwa kama wewe
Naona umepaniki mpaka umechanganyikiwa.lakini mimi naendelea kutwanga na kushusha NONDO nzito nzito tu mpaka uchanganyikiwe kabisa.
 
Ni ajabu sana chawa waandamizi wa ccm Lucas Mwashambwa , Tlaatlaah na chiembe wamekuwa vocalists wa Mbowe, wanamtetea Mbowe utadhani anawalipa.

Kila uchwao wanapandisha nyuzi za kumpinga Lissu, huko ccm hamtosheki nako?
Gentleman you are wrong,

binafsi ni mtaalamu na mwanasiasa mbobevu na muandamizi katika siasa za vyama,

infact,
kinachofanyika hata na hao ulowatag,
ni kueleza mazingira yanayojiri ndani ya uchaguzi wa chadema ilogawanyika.

Na hiyo kazi ni ya kitaalamu labda ndio maana unasema mimi na hao wangwana wengine tupo vocal sana kuuesmea uchaguzi huo. Na hiyo ni kwasababu tuko na bidii na tupo na access kubwa sana ya kujua na kuelewa mambo ya ndani zaidi hususan kwa wale wanaotarajiwa kugombea nafasi ya uenyekiti Taifa.

Na hakuna nia mbaya kabisa, tunafanya haya kwa nia njema zaidi ya kujifunza na kuelewa zaidi siasa ndani ya vyama mbalimbali vya siasa.

So,
usipotoshe wadau gentleman tafadhali sana 🐒
 
Kwanini ya chadema yanawaumiza sana?

Kama haingii mkono wewe inakuuma nini si ni faida huko kwenu?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ukiangalia aina ya watu wanaomuunga mkono lissu unabakia unasikitika,kushangaa na kucheka sana.ni watu wababaishaji,wasiojitambua ,wasio na ushawishi ndani ya chama na nje ya chama. Ni watu wenye taswira Mbaya sana kwa jamii na wasiokubalika wala kuungwa mkono kwa matendo na kauli zao.

Ni watu ambao hawawezi kukaa na mwenye akili Timamu na anayejitambua wakafanya majadiliano au mashauriano ya jambo fulani. Ni watu ambao hawaeleweki wala kuelewa kitu chochote kile .hawana adabu wala staha wala hekima ya midomo yao.ni watu ambao wakifungua vinywa vyao unapata aibu ya kuendelea kusikiliza wanachozungumza.

Waswahili wanasema ya kuwa ukitaka kumjua mtu vizuri basi angalia watu waliomzunguka au watu wanaomuunga mkono au watu anaoshinda nao na kushirikiana nao. Kwa sababu ndege wafananao huruka pamoja. Mtu mwenye hekima ,busara ,staha na mwenye ushawishi kwa watu ni lazima utaona akizungukwa na watu wenye akili ,hekima,busara ,maarifa,ushawishi ,makini na wenye utulivu.

Lakini kinyume chake ni kuwa ni rahisi sana kukuta mtu aliyekosa hekima,adabu,ushawishi ,biashara ,akili,kujitambua akizungukwa na watu wa Hovyo hovyo wababaishaji,wenye mihemuko ,watukana matusi utafikiri vichaa au wendawazimu au wagonjwa wa akili.

Ni ngumu kukuta Mchungaji na Mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu akiwa amezungukwa na kuambatana muda wote na walevi,wavuta bangi ,watumiaji wa madawa ya kulevya ,wahuni wahuni na watu wa Hovyo hovyo.kwa sababu hata hao walevi na wahuni wahuni na wavuta bangi ni lazima waogope hata kumsogelea kwa sababu ya tabia zao mbaya na mienendo yao mibaya ambayo wanajua ni aibu kwa jamii na mbele za watu waliostaarabika.hata Nnzi hawakai pasafi bali hufuata penye uvundo na uchafu.

Kwa hiyo Lissu alitakiwa kujitathmini na kujiuliza hata kabla ya kuingia kwenye sanduku la kura kwamba ni kwanini hauungwi mkono na viongozi wenzake wenye ushawishi ndani ya chama? Kwanini wote wanamkimbia na kuogopa hata kujinajibisha au kujihusisha naye au kuonekana naye hadharani?

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wala hujakosea mwashambwa CCM Daima
 
Back
Top Bottom