Lissu Anaungwa Mkono na Watu Wababaishaji wasio na Ushawishi wala kukubalika kwa Jamii

Process ya uchaguzi wa ndani wa CHADEMA kimsingi ni ya wanachama wa CHADEMA.

Wao ndio wanaamua nani atawafaa.

Wewe ni mwanachama wa CHADEMA?
 
Wababaishaji na wanaokesha hata kuota jina Lisu.
 
Wewe ni chawa, tena usiyetumia reasoning...
 
Wewe ni chawa, tena usiyetumia reasoning...
relax gentleman,

ukweli ni mkubwa na mzito mno kuliko mihemko na pengine makadiriko.

Ni vizuri kukubali ukweli gentleman 🐒
 
Sikujua kama wewe ni popoma hivi! Ila siku zinavyozidi kwenda unajidhuhirisha!
 
relax gentleman,

ukweli ni mkubwa na mzito mno kuliko mihemko na pengine makadiriko.

Ni vizuri kukubali ukweli gentleman 🐒
Huoni kama wewe ndio unahemkwa gentleman. Come to think of it, mnatumia nguvu nyingi sana, how much do you earn for this?
 
Anachukiwa na maccm tu, yameibuka ghafla hayazungumzii kitu kingine yani kutwa kucha chadema, wakati haina haina hata nguvu yani, ilishinda 1% tu serikali za mitaa sasa sijui nini kunawatisha uvccm kutwa kupishana na mashindano ya nyuzi mpya kuhusu Lissu (simba) na Mbowe.
 
Sawa tu hata wakiwa hao hao haina shida ili mradi amechukua fomu.
 
Huoni kama wewe ndio unahemkwa gentleman. Come to think of it, mnatumia nguvu nyingi sana, how much do you earn for this?
Gentleman,
niko na utulivu mkubwa sana na ndio maana I can reply all comments za wadau with humility, respect and patience ya kiwango cha juu sana..

na hapa namalizia andiko jingine punde si punde nitaludondosha humu jukwaani.

So,
relax and avoid mayhem ili angalau ujifinze mambo muhimu sana kuelekea uchaguzi wa chadema ilogawanyika 🐒
 
Nadhani CCM wanamuogopa Lissu sio Mbowe.
Huenda Mbowe wameshammudu tayari hivyo Lissu atakuja kuwaharibia mahesabu yao kabisa.
Mtu anaeungwa mkono na CCM hafai kuongoza upinzani wa kweli.
Inafahamika msimamo wa Lisu ni upi shida inakuja huwezi kumbadili kirahisi na kupambana nae ni ngumu maana mpaka risasi zilishindwa.
 
Process ya uchaguzi wa ndani wa CHADEMA kimsingi ni ya wanachama wa CHADEMA.

Wao ndio wanaamua nani atawafaa.

Wewe ni mwanachama wa CHADEMA?
Na katika kuamua kwao wameamua Mwamba Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti wao.ndio Maana unaona wanaendelea kumuunga mkono hadharani kabisa.tofauti na Lissu Anaungwa mkono na watu kama SATIVA watu ambao ni aibu kwa jamii na Taifa kwa namna wanavyotukana matusi ya nguoni hovyo hovyo mitandaoni
 
Safari hii mtatema bungo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…