Uchaguzi 2020 Lissu anazidi kuumbuka, kila hoja anayoanzisha inaonekana haina mashiko kwa Watanzania

Muwe mnasoma comment wakuu, hakika mtapata burudani kubwa sana
 
Hoja yakijinga kweli unajuwa alivyo kuja bilakazi yoyote rais waburundi matokeo yake kapewa ufunguzi wa mahakama alipojuwa shida hapa nikampeni mgeni ilibidi aingie mzimamzima kupiga kampeni ilikujibu kaulizakweli zalisu kuhusu majirani zetu
 
Huyo mpuuzi Hana lolote
Atakacho pata tarehe 28 Hata amini
Rais ni Magufuli tu
Na akipita huyo mtu wenu cha moto tutakiona hii itakuwa cha mtoto maana tumesoma namba zote saizi tutaanza za kikorea na kijapan
 
Ila kwenye uchumi wa kati mnawafurahia balaa hamna tofauti na wadangaji sasa
 
Tundu lissu anasema rafiki Pekee wa magufuli ni mrithi wa nguruzinza inamaana hujaelewa wapi sasa?
Mjinga hata usipomwita mjinga ni mjinga tu. Hata ukimtwanga kwenye kinu ujinga hautamtoka, atabaki mjinga tu. Kiwango cha Lissu ni cha juu sana kiasi mjinga hataweza kumwelewa!!!
 
Mjinga hata usipomwita mjinga ni mjinga tu. Hata ukimtwanga kwenye kinu ujinga hautamtoka, atabaki mjinga tu. Kiwango cha Lissu ni cha juu sana kiasi mjinga hataweza kumwelewa!!!
Wewe mwenye akili umemuelewa nini? Kuhusu diplomatic relations ya Tanzania?
 
Tulikuwa na mahusiano mazuri ya kidiplomasia enzi za kikwete na walituibia sana kuanzia escrow, Iptl na Richmond .Hatutaki mtu hapa ni mbele kwa mbele
Kwahiyo sasa hivi hatuna mahusiano mazuri na nchi zingine?
 
Tundu lissu anasema rafiki Pekee wa magufuli ni mrithi wa nguruzinza inamaana hujaelewa wapi sasa?
Wewe huna akili zako Hadi utegemee za Lissu? Eti Lissu amesema, wewe huna akili zako ukaona Mambo yanayoendelea duniani Hadi ulete ulichoambiwa na Lissu?
 
Hivi huwa kuna watu wanasoma unachoandika? mimi huwa nasoma kichwa cha habari nimemaliza!
Uwe unasoma, inawezekana siku moja akawa na point za msingi.
Ila hii ya leo inachekesha.
 
mafuguli kachanganyikiwa anaendesha kampeni bila sera na wajinga kama wewe wanamshangilia.
 
[SUB]Kipanga wa CCM umeshusha nondo Kali![/SUB]
[SUB]Tundu Lissu alisema tumebakisha uhusiano na Burundi pekee![/SUB]
[SUB]Katika kipindi hiki Cha JPM vyombo vya Habari Ni ndembendembe! Havikohoi kwa Jiwe,Ni Heri hata RTD enzi za Mwalimu[/SUB]
 
Lissu ni mtu mnafiki Sana, watanzania wengi wa leo wanaweza kuchuja kila asemacho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…