TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Wana tamaaSijui kama wamepokea kweli. Ngoja tusikilize mrejesho juu ya matokeo yaliyokusudiwa na mtoa rushwa. Hapo ndipo tutakapojuwa wamepokea au la.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana tamaaSijui kama wamepokea kweli. Ngoja tusikilize mrejesho juu ya matokeo yaliyokusudiwa na mtoa rushwa. Hapo ndipo tutakapojuwa wamepokea au la.
Wenye tamaa ni hao wanaowawekea kishawishi.Wana tamaa
Nipo CCM na unayoyasema siyapingi.Mada, kundi zima la "chawa" limeibuka kumshambilia Lissu. Ni wazi kabisa sasa kwamba huko CCM hofu dhidi ya Lissu imepanda sana. Kinana hajui afanye nini, sembuse hawa 'chawa' wanyonya uchafu wa anayewatunza?
Chawa wa mama😀Chawa wa CCM wameshindwa kupata habari toka Chadema sasa wanajiropokea tu kama vichaa
Wapokeaji ndio MalayaWenye tamaa ni hao wanaowawekea kishawishi.
Acha wakaze shingo, pengine ndiyo itakayokuwa nafuu kwetu sote.Nipo CCM na unayoyasema siyapingi.
Chama kinahaha kusalia madarakani, ukiwauliza sababu wanadai ni utamaduni wa ndani kupokezana kijiti.
Wasomi na wasio wasomi ndani ya chama ni hopeless sasa
Tusiwahukumu kabla hawajapanua mapaja yao.Wapokeaji ndio Malaya
Hapana,mwanasiasa wa kweli ni yule anayebadilika kutokana na mahitaji ya wakati na mazingira husika.A
Amewavuruga au anajivuruga mwenyewe na slowly anapotea kwenye siasa. Mwanasiasa mzuri ni yule anayekuwa na ideology isiyobadirika