Pre GE2025 Lissu aombe radhi, asijitoe akili

Pre GE2025 Lissu aombe radhi, asijitoe akili

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mada, kundi zima la "chawa" limeibuka kumshambilia Lissu. Ni wazi kabisa sasa kwamba huko CCM hofu dhidi ya Lissu imepanda sana. Kinana hajui afanye nini, sembuse hawa 'chawa' wanyonya uchafu wa anayewatunza?
Nipo CCM na unayoyasema siyapingi.

Chama kinahaha kusalia madarakani, ukiwauliza sababu wanadai ni utamaduni wa ndani kupokezana kijiti.

Wasomi na wasio wasomi ndani ya chama ni hopeless sasa
 
Nipo CCM na unayoyasema siyapingi.

Chama kinahaha kusalia madarakani, ukiwauliza sababu wanadai ni utamaduni wa ndani kupokezana kijiti.

Wasomi na wasio wasomi ndani ya chama ni hopeless sasa
Acha wakaze shingo, pengine ndiyo itakayokuwa nafuu kwetu sote.
 
Back
Top Bottom