Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri uone!Hao watu wako wamekariri sheria!!
Lisu outHawa mbwa walizoea kutuonea wkt Lissu hayupo......
Shenzy type. Go Lissu go
Wenzio hicho kifungu wamekiondoa, wanahangaika na mengine, ccm hawalali.msajili anaandikiwa mabarua mengi sana na ccm.Ccm hawamuwezi lissu kwenye jukwaaSubiri uone!
Kipindi kile tunapiga kelele humu kwamba kwanini Lisu ameshindwa kujaza form ya maadili ya viongizi mkasema hoo alikuwa anatibiwa! Tukawaambia mbona anazunguka huko ulaya tunamuona? Mkasema hoo hatuna la kumfanya Lisu!
Sasa nec ndio hao sasa watamfanya na Lisu kashagundua wapi wenzie watamchinjia ndio maana ameanza kujihami mapema.
Safari hij kapatikana.
Kuna tofauti ya kutoa rushwa ili uchaguliwe na kuanzia kampeni mapema. Ni sheria mbili tofauti. Ni jambo la kisheria hivyo mtu ambaye hana legal knowledge aweza changanyaHuyu jamaa anashida kichwani maana alituambia Magu ameanza kutoa rushwa mapema leo anasemaje
Mnamuogopa Lissu hadi mnajificha kudadeki !Lissu aache kuweweseka!
Mkuu, tusidanganyane! Kama, walitaka kumuua, hatukuonyesha chochote kupinga unyama huo! kisha Lema, Mbowe, Sugu, Mdee nk kutupwa ndani, bila sababu za msingi, napo hatukuonyesha kupinga uovu huo, itakuwa huko KUENGULIWA? Nina imani hayo maovu angefanyiwa kiongozi mwingine tofauti na Lissu, na huyo Lissu angekuwepo, sidhani kama angetulia tuli, na kusema TUNAMUACHIA MUNGU!Wajaribu, wathubutu, tutawafundisha adabu, watajuta!
Umeisikia clip? Tayari wamekwisha jibiwa.Wajaribu, wathubutu, tutawafundisha adabu, watajuta!
Lisu ataishia kuwatisha CUF na Nccr mageuzi!mnamuogopa Lissu hadi mnajificha kudadeki !
Haujasikia mahakama ikishauriwa akamatwe! Soma magazeti ya leo.Mbona ameanza kuweweseka mapema namna hii?
Wenye nchi hawako tayari kutetea mtu asiyeheshimu sheria ati kwa sababu kasoma sheria, tupa kuleTume isiengue mgombea yeyote, wenye nchi wataamua wa kumuengue kwenye sanduku LA kura
Mipango ya kumzuia kugombea imevuja kishamba sana !Lisu ataishia kuwatisha CUF na Nccr mageuzi!
Ukimuona Lisu ana IQ kubwa inaonyesha jinsi gani wewe na yeye mnavyostahili kupata matibabu stahiki pale hospitali ya taifa MILEMBEIQ ya Lissu ni kubwa sana