lord atkin
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 257
- 922
Kesho rasmi Lissu yupo nje ,na tutegemee kuibuka Kizimkazi kupeleka salamu za pole naamini kama fundisho kapata .
Tunategemea utarudi mtaani kuwa raia mwema karibu mtaani TAL
Kama Lissu anataka ajimalize kisiasa atoke na aende Kizimkazi kutoa pole. Hata Ile pole aliyoitoa mahakamani haikuwa na ulazima sana. Maana ndio imeleta sintofahamu huku nje.Kesho rasmi Lissu yupo nje ,na tutegemee kuibuka Kizimkazi kupeleka salamu za pole naamini kama fundisho kapata .
Tunategemea utarudi mtaani kuwa raia mwema karibu mtaani TAL
Wewe wasema. Umuonee mtu halafu useme amejifunza? Mbona huyo mama yenu kafiwa na mumewe amejifunza?Kesho rasmi Lissu yupo nje ,na tutegemee kuibuka Kizimkazi kupeleka salamu za pole naamini kama fundisho kapata .
Tunategemea utarudi mtaani kuwa raia mwema karibu mtaani TAL
Amini nakuambia wanajua fika kitachoenda kuwakutaHawatotokea hao watu