Uchaguzi 2020 Lissu apokelewa Tarime kwa kishindo

Uchaguzi 2020 Lissu apokelewa Tarime kwa kishindo

Anashangilia kuteleza kwenye barabara zilizojengwa chini ya Jembe Magu! Kwa upumbafu baadae anasema hakuna kilichofanyika! Huyu ni mpuuzi kweli kweli!
Magu amezijenga na pesa zake au za walipa kodi,acha hizo
 
Hivi hawa wanaojaa hawaoni kasi ya JPM kweli?
Naona wanaokwenda shuhudia kibwengu! Itakapofikia muda wa kupiga Kira watamfanyia ya waliyomfanyia...wajumbe😂🤣😂!
 
Magu amezijenga na pesa zake au za walipa kodi,acha hizo
Hakutaka azitumbulie angani kwenda kubembea Cuba na kupiga selfie na PDD, badala yake akaamua kuijenga nchi yake.. wapumbafu ni ngumu kutambua haya...stupid fools!
 
Uyu naye ni mataga aka kuku na ametaga yai tena baada kupandwa na jogoo
Tarime sio mbali na sirari mpakani na Kenya kwenye korona,

Kumbe lisu aliwadanganya wakenya kuwa tuna korona.

Awalize hao wana tarime kama wana korona, tusikie majibu yao
 
Tija gani unaitaka wewe mama??
Tunaupenda sana upinzani. Ila tunajindanganya sana kuhusu haya mafuriko .
Haya mafuriko yanatudanya sana jamani, mafuriko haya yalikuwepo toka enzi na enzi ila hayana tija.
Tumekuwa na mafuriko enzi za mrema nk lakini hayakuwahi kusaidia kushika nchi.
Tujiulize je ilikuwaje uchaguzi wa wenyeviti wa vijiji, ilikuwaje kuhusu vijana kwenda kuboresha daftari la kupiga kura. Kama wenzetu ccm walifanya vizuri kwrnye sekta hiyo tutegemee siku ya kura ukienda kupiga kura kutokuona jina lako halafu udhani umeibiwa,kura kumbe atukutoa kipa umbele kwenye vitu vya msingi.
 
Umejuaje?? Sio mitatu bali huu ni mwezi wa tano mpaka nawaza kuhacha kutoa huduma pale ila mpaka wanilipe kwanza
SGR wana miezi mitatu hawajawalipa wazabuni kuna migomo isiyokwisha ulipaji wao ni wa shida wakati tunaambiwa ni pesa za ndani zinaendesha mradi huo
 
Anashangilia kuteleza kwenye barabara zilizojengwa chini ya Jembe Magu! Kwa upumbafu baadae anasema hakuna kilichofanyika! Huyu ni mpuuzi kweli kweli!
Katengeneza barabara ipi?
 
Kwenye hii miezi miwili mataga lazima walale na viatu kila siku, maana sio kwa mchaka mchaka huu anaowapeleka TL
 
Hahhaha.. Makamanda mnapagawa na mafuriko bado?

Hayo hata enzi za Slaa yakikuwepo mara mbili yake
Hahhahaha we jamaa unafurahisha mwanzo mlisema upinzani umekufa, mara hatuna wafuasi tena, mara cjui mikutano hta ifanyike hamna atakayekuja kisa hatuna mvuto tena. Mara sijui lissu hatorudi, cjui akirudi atakamatwa Airport.

Mafuriko yameanza mnadai eti hta Dk. Slaa alikua nayo..... Hahahahhaa unachekesha sana we jamaaa. Kubalini tu kuwa Lissu ni game changer na kabadili kabisa upepo wa siasa kuelekea oktoba
 
Back
Top Bottom