Lissu asema hajalipwa stahiki zake kama Spika Ndugai anavyoliambia Bunge

Lissu asema hajalipwa stahiki zake kama Spika Ndugai anavyoliambia Bunge

Wote walio hama vyama na kukosa nafasi wanasubili final mwezi wa sita ndio mwisho wa kila mtu kupata ulichopanda

Yeye hajahama chama, bali alivuliwa ubunge kwa hila.
 
Yeye hajahama chama, bali alivuliwa ubunge kwa hila.

Rudia kusikia kauli ya spika ndo utajua kuwa atapigiwa hesabu kwa kipindi alichofanya kazi na atalipwa nyie tulieni tu.
 
Tatizo lenu mmeshikiwa akiri na T Lisu, huyo lisu mwanzo alisema kalipwa pesa mpaka mwezi wa tano, lakini Spika akasema amemlipa mpaka mwezi wa sita, sasa ulitakiwa kujua kweli kalipwa mpaka mwezi wa sita?, cha pili huyo Lisu atalipwaje stahiki za ustaafu wakati wabunge wote wanalipwa mwezi wa sita? Ana u special gani mpaka alipwe kabla ya mwisho wa vipindi? Aache uongo, spika kasema kila mtu atalipwa mwezi wa sita kwa hiyo huyo lisu anatakiwa asubili mwezi wa sita asipolipwa nado azungumze, sasa kila anachosema mnapanua midomo bila kujiuliza kama kasema ukweli, kweli kazi mnayo.
Kama pesa za kiinua mgongo mpaka mwezi wa sita Ndio tunarudi pale pale kuwa tundu bado hajalipwa kila kitu kama spika anavyodai
 
Nilifika Brussels nikaona unyoaji huo ni common kwa vijana wa kongo wanaoishi kati ya jiji, wakicheza muziki. Tatizo nilipoona mbunge wa jimbo Tz, siku chache baada ya kwenda Ubelgiji, naye ananyoa kama wao! Nikajua ni aina ya watu tunaowaona hawana substance. Wakiishi na mvuta bangi, siku chache wanavuta. Wakiishi na mcheza disco, nao hawalali. Wakiishi na mpiga pombe, nao wanaingia.
Mwache aendelee kucheza ndombolo ya Awilo Longomba. Jasho litamtoka.
 
Hiyo ni njaa Boss! Tusidanganyane hapa! Sijawahi sikia akizungumzia aliyowafanyia wapiga kura wake kama ilivyo ktk ajira yake. Badala yake kila siku ni kudai pesa! Haki yake sawa na je, haki ya wananchi ametimiza nini?
Umewauliza wapiga kura wake wakasema "kudhulumiwa?" Au umekuwa msemaji wao, na kuna tofauti gani kati ya majimbo ya Singida Mashariki na kwa Ndugai kimaendeleo?
 
Risasi, risasi, kila siku risasi! Kuna watu wameuwawa na tulishasahu, itakuwa risasi 32? Kwa kuwa alipigwa risasi nyingi ndo adeke kila siku? Kila leo ni hadithi zake ili asisahaulike. Mwambieni shujaa arudi, woga umetoka wapi?
Kuna watu munasubili Lisu arudi utadhani Yesu. Lisu ni nani hadi awadanganye kurudi kwake.
Watu wenye roho za "kwa nini" utawajua kwa kauli kama hizi. Koroshoooo hadi inatia kinyaa.
 
Tatizo lenu mmeshikiwa akiri na T Lisu, huyo lisu mwanzo alisema kalipwa pesa mpaka mwezi wa tano, lakini Spika akasema amemlipa mpaka mwezi wa sita, sasa ulitakiwa kujua kweli kalipwa mpaka mwezi wa sita?, cha pili huyo Lisu atalipwaje stahiki za ustaafu wakati wabunge wote wanalipwa mwezi wa sita? Ana u special gani mpaka alipwe kabla ya mwisho wa vipindi? Aache uongo, spika kasema kila mtu atalipwa mwezi wa sita kwa hiyo huyo lisu anatakiwa asubili mwezi wa sita asipolipwa nado azungumze, sasa kila anachosema mnapanua midomo bila kujiuliza kama kasema ukweli, kweli kazi mnayo.
Wewe heri uchukuliwe na covid 19,unaharisha tu humu jr kusifia ujinga wa ccm chama kimejaa wangese kma wewe
Screenshot_20200408-194219_Twitter.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulimuuliza huyo lisu posho na pesa ya mafuta ya kutumika jimboni singida alitumia jimbo gani huko ubelgiji kwa manufaa ya wasingida?
Mbona unatamba hapa kama mtu mwenye akili na kumbe ni boga tu?

Ubelgiji alijipeleka mwenyewe? Hujui alivyofika huko?


Tatizo lenu mmeshikiwa akiri na T Lisu, huyo lisu mwanzo alisema kalipwa pesa mpaka mwezi wa tano, lakini Spika akasema amemlipa mpaka mwezi wa sita, sasa ulitakiwa kujua kweli kalipwa mpaka mwezi wa sita?, cha pili huyo Lisu atalipwaje stahiki za ustaafu wakati wabunge wote wanalipwa mwezi wa sita? Ana u special gani mpaka alipwe kabla ya mwisho wa vipindi? Aache uongo, spika kasema kila mtu atalipwa mwezi wa sita kwa hiyo huyo lisu anatakiwa asubili mwezi wa sita asipolipwa nado azungumze, sasa kila anachosema mnapanua midomo bila kujiuliza kama kasema ukweli, kweli kazi mnayo.

Hata kusoma hujui?

Kwani Ngugai kasemaje. Kueleza kuwa Lissu hadai lolote tena kwa vile amekwishalipwa haki zake zote, wewe huelewi ina maana gani?
 
..Ndugai kabla hajaungana na watesi wa Tundu Lissu.


Kwenye huu mkanda wa video unamshika Spika wa Bunge tukufu la Jamhuri ya Muungano Ndugu Job Ndugai kwa Uongo wa Papo kwa hapo

Jemadari Kamanda Tundu Mughwai Lissu ameonewa na kusababishiwa Ulemavu na Watu wasiojulikana

Huku serikali yetu nayo ikihusika kwa kwa karibu katika kumtosa jambo hili ni la kusikitisha sana

Wahenga walishasema mkuki kwa Nguruwe kwa Binadamu ni mchungu Spika alipougua alipelekwa India kwenda kutibiwa na Serkali ya jamhuri ya muungano kwa gharama ya kutisha

Tunaipakaa nuksi Nchi hii iliyopambana na ukaburu kote duniani.
 
Kweli hizi ndo akili za Ngamia ! Jiulize tu ubunge wake ulikoma lini? wenzako ndo tumeelekeza mjadala huko BUT wew unatoa maelezo ni as if Lissu bado ni mbunge hadi leo kama walivyo wabunge wengine.Tunahoji stahiki zake iwapo alizipata au la baada ya kuachishwa ubungo last year !
Tatizo lenu mmeshikiwa akiri na T Lisu, huyo lisu mwanzo alisema kalipwa pesa mpaka mwezi wa tano, lakini Spika akasema amemlipa mpaka mwezi wa sita, sasa ulitakiwa kujua kweli kalipwa mpaka mwezi wa sita?, cha pili huyo Lisu atalipwaje stahiki za ustaafu wakati wabunge wote wanalipwa mwezi wa sita? Ana u special gani mpaka alipwe kabla ya mwisho wa vipindi? Aache uongo, spika kasema kila mtu atalipwa mwezi wa sita kwa hiyo huyo lisu anatakiwa asubili mwezi wa sita asipolipwa nado azungumze, sasa kila anachosema mnapanua midomo bila kujiuliza kama kasema ukweli, kweli kazi mnayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kiukweli Ndugai anaroho ngumu sana. Ujasiri alioutumia maamuzi ubunge wa Lissu si wa kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tabia ya NguGay inatokana na upbringing yake. Huyu ni zao la kulelewa na upande mmoja wa mzazi. Yasemekana hata mama yake hakujua baba ya ****** ni nani. Halafu huyu fani yake ni Wildlife Management. Kwa hiyo kabla ya kuwa mbunge alikuwa ana deal na wanyama pori. Ukichanganya maisha binafsi ya mama asiyejua baba wa mtoto na kuishi na wanyama, inamfanya ****** awe mkatili sana kwa binadamu wengine. Waulize wataalamu wa human behaviour watakueleza
 
Back
Top Bottom