Pre GE2025 Lissu ashauriwe apunguze kutuhumu wenzie bila Ushahidi, anagharimu Chama chake kwa kucheza ngoma ya CCM bila kujijua

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nasisitiza kwa sasa Mbowe ndio tatizo halisi ndani ya cdm.
Mapungufu ya Mbowe ni yapi ambayo unasema yanaikwaza Chadema. CCM wamelikazania sana la kuondoka kwa Mbowe wakiamini kuwa mbowe ndiye kikwazo cha kufa Chadema, ndiye uhai wa chadema, akiondoka tu "wameula"..
They (ccm) do not fear anybody apart from Mbowe
 
Lissu ni msaliti. CHADEMA chini ya Mbowe kwa awamu hii ya 6 kimekuwa chama cha kizalendo sana hali ambayo imepelekea kuwa chama rafiki cha CCM. WanaCCM wengi tuna imani na Mbowe kwenye kuivusha CHADEMA. Mbowe na viongozi wengine wa CHADEMA wamchukulie hatua za kinidhamu msaliti Lissu.
 
Mapungufu ya Mbowe ni yapi ambayo unasema yanaikwaza Chadema. CCM wamelikazania sana la kuondoka kwa Mbowe wakiamini kuwa mbowe ndiye kikwazo cha kufa Chadema, ndiye uhai wa chadema, akiondoka tu "wameula"..
They (ccm) do not fear anybody apart from Mbowe
Mbowe akifa? Yaani ccm wapate shida kwa Mbowe?! Uko serious?
 
Back
Top Bottom