Lissu asherehekea 'Birthday' ya Maalim Seif kisiwani Pemba

Lissu nae Tagombea Mpka Afikishe Umri Wa Seif Hahaha kila hatapata
 
Leo nimemuona anahojiwa dira ya dunia anaulizwa kwa Nini wanapitiliza mida was kampeni ambao NI saa 12jion?
Anasema Kama magufuli anafanya na wao wanafanya hvyo
Hivi mzima kweli huyo!!!!
 
"HAPPY BIRTHDAY MAALIM WAPELEKENI MCHAKAMCHAKA"
 
Haisaidii kitu, huyu msaliti wa Nchi Lissu lazima tumfundisha adabu
 
Nashauri Maalifu baada ya kushindwa uchaguzi kwa mara ya sita mdululizo uku visiwani, akajaribu kugombea Urais wa Tanzania labda ataweza kushinda.
 
Endelea kujifariji ni wiki ijayo tu tunabadili history ya Tanzania, pipozii pawaa ni yeye 2020
 
Ila wamemuaminisha sn kwamba atashinda....na yeye anaamin sana hapo kampeni zimemtia hofu
Jinsi alivopatwa na hofu na wasiwasi akawaambie watu wakampigie kura tarehe 27 yey kwa wingi ameungana na Maalim seif kama kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…