kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,097
- 7,199
Na waunguja na wapemba mwaka huu wamejiapiza...hoyo ndo mbaya zaidMwenendo tu wa kampeni umeshamkatisha tamaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na waunguja na wapemba mwaka huu wamejiapiza...hoyo ndo mbaya zaidMwenendo tu wa kampeni umeshamkatisha tamaa.
22 October 2020
Pemba, Zanzibar
Lissu asherehekea 'Birthday' ya Maalim Seif kisiwani Pemba
Maaliim Seif afanyiwa sherehe kubwa ya siku ya kuzaliwa kwake na maelfu ya Wazanzibari na waTanganyika walionesha upendo mkubwa na furaha isiyo na kifani kwa kiongozi wao mtarajiwa wa taifa la Zanzibar ndani ya Muungano wa usawa.
Sherehe hizo za birthday ya Seif Sharrif Hamad almarufu kama Maalim baadaye zilifuatiwa na fete ya kufunga rasmi kampeni za kuwania sehemu hii ya Pemba Zanzibar . Kesho kampeni zitahamia upande wa Unguja Zanzibar kukamilisha miezi miwili ya kampeni za uchaguzi mkuu wa Zanzibar 2020
Shamrashamra za Ufungaji Kampeni ACT Pemba
Leo nimemuona anahojiwa dira ya dunia anaulizwa kwa Nini wanapitiliza mida was kampeni ambao NI saa 12jion?Wataishia tu kusherehekea Birthday, lakini siyo ushindi wa Urais.
Amini nawaambieni, huku Bara kila siku zinapozidi kusogea kuelekea Uchaguzi mkuu 2020, watu wengi kwa mamia wanazidi kumkimbia Mwakilishi wa MABEBERU.
Wengi kwa sasa wanamuunga mkono JPM. Hata wale wanaotembea wakiwa wamevaa Bendera za kibeberu, wananong'ona wakisema kuwa wanaomba kura za Diwani isipokuwa Mbunge na Rais ni CCM.
UDINI, MATUSI na kutoongea kwa STAHA kumemshusha hadhi mgombea Mwakilishi wa MABEBERU. Haaminiki tena na hakuna mtanzania atakayeingia barabarani kwa ajili yake.
Mitaani Pemba leo ni rangi ya zambarau tupu huku kila mkaazi wake akiwa amejawa furaha
Mwambieni huyo Babu yenu was ACT Apumzike kila mwaka yeye tuHatimaye Polepole ameachia posho na Tecno mpya kwa mamluki
Pohamba kwa kikwetu ni Pumbu
22 October 2020
Pemba, Zanzibar
Lissu asherehekea 'Birthday' ya Maalim Seif kisiwani Pemba
Maaliim Seif afanyiwa sherehe kubwa ya siku ya kuzaliwa kwake na maelfu ya Wazanzibari na waTanganyika walionesha upendo mkubwa na furaha isiyo na kifani kwa kiongozi wao mtarajiwa wa taifa la Zanzibar ndani ya Muungano wa usawa.
Sherehe hizo za birthday ya Seif Sharrif Hamad almarufu kama Maalim baadaye zilifuatiwa na fete ya kufunga rasmi kampeni za kuwania sehemu hii ya Pemba Zanzibar . Kesho kampeni zitahamia upande wa Unguja Zanzibar kukamilisha miezi miwili ya kampeni za uchaguzi mkuu wa Zanzibar 2020
Shamrashamra za Ufungaji Kampeni ACT Pemba
Anamzidi mumeo miaka minne tuuKina miaka mingapi hicho kizee chenu
Wataishia tu kusherehekea Birthday, lakini siyo ushindi wa Urais.
Amini nawaambieni, huku Bara kila siku zinapozidi kusogea kuelekea Uchaguzi mkuu 2020, watu wengi kwa mamia wanazidi kumkimbia Mwakilishi wa MABEBERU.
Wengi kwa sasa wanamuunga mkono JPM. Hata wale wanaotembea wakiwa wamevaa Bendera za kibeberu, wananong'ona wakisema kuwa wanaomba kura za Diwani isipokuwa Mbunge na Rais ni CCM.
UDINI, MATUSI na kutoongea kwa STAHA kumemshusha hadhi mgombea Mwakilishi wa MABEBERU. Haaminiki tena na hakuna mtanzania atakayeingia barabarani kwa ajili yake.
Nina mkeAnamzidi mumeo miaka minne tuu
Unamsaga?Nina mke
Unataa nikuoe au?Unamsaga?
Hapana kwavile mumeo tunafahamiana na anasema wewe ni mjamzitoUnataa nikuoe au?
Mbona unanifuatiliaa nyuma nyuma?
Jinsi alivopatwa na hofu na wasiwasi akawaambie watu wakampigie kura tarehe 27 yey kwa wingi ameungana na Maalim seif kama kawaida.Ila wamemuaminisha sn kwamba atashinda....na yeye anaamin sana hapo kampeni zimemtia hofu
Dini yangu hairuhusu mitalaHapana kwavile mumeo tunafahamiana na anasema wewe ni mjamzito
kwa tabia hizi za kubana pua kama khadija kopa huwezi ukawa mwanaumeDini yangu hairuhusu mitala
Tafuta mume uolewe acha kurukia waume za watu mtandaoni