Uchaguzi 2020 Lissu asiachwe aeneze uchochezi huu

Laghaiiii tu
alikuwa wapi siku za nyuma
 

Attachments

  • WhatsApp Video 2020-10-22 at 12.40.23.mp4
    6 MB
JIwe ameiba matrilioni na anamiliki kimyemela makampuni ya ujenzi kwa jina la Mayanga Construction. Kuna mengi tutayasikia yote, mauaji ya watanzania wasio na hatia ni mengi kila kona na anahusika.
 
Kwani hili nalo ni jambo la kuletwa hapa lijadiliwe?

Wewe siku zote hizo hukujua wala kusikia ni nani mhusika mkuu wa matukio kama hayo?

Uchunguzi uliruhusiwa ufanyike ili ijulikane ni nani mhusika?

Wewe unaposhikiwa akili, halafu wewe mshikiwa akili unataka nawe uwe na watu wa kuwashikia akili, hayo siyo maajabu?
 
Sihasa hizo mkuu, achana nae hana ushahidi wa lolote.
 
Mgombea wao ndio kabisa anatia aibu kwa uongo kuhusu hoja za wabunge wetu, ndani ya bunge.

Maoni ya wapinzani kuhusu vitendo vyake vya ukandamizaji wa haki yanazuiliwa, mlidhani yataweza kufichika kwenye teknolojia ya sasa.

Mungu wa kweli aliyemwepusha Shujaa Lissu kwenye shambulio la kishetani bado yupo.

Wakati sasa umefika, CCM lazima mtalipa tu kwa kipindi cha miaka mitano ya giza mlichotupitisha.

Tumechoka na ibada zenu kwa Jiwe zinazoongozwa na njaa zenu, WAKATI waTz wanadhulumiwa maisha na usitawi mchana kweupe.
Wote wenye nia ya kulikomboa taifa letu tutatoka kwenda kupiga na kulinda kura zetu.

Tunataka UHURU, HAKI na MAENDELEO YA WATU. SASA BASI.
Amen
 
..jeshi la Polisi wafanye uchunguzi.

..vinginevyo Tundu Lissu ataendelea kuwataja wale anaohisi wanahusika.

..ila mimi naamini anachokisema kwasababu hakuna maelezo ya kwanini walinzi wa area D waliondolewa siku aliyoshambuliwa Tundu Lissu.
Watakuja tuelezea vizuri tukiishamaliza kazi 28/10
 
Kwa sasa Lisu ni untouchable, dunia nzima jicho lipo hapo,aliyeambiwa yupo ni mgombea si ajibu, we unamjibia kama nani? siku hizi mshakuwa wajnga kila mtu anaamlisha vyombo vya usalama nini cha kufanya,mbeleko itawaua.simameni kama nyinyi.
 
Mnapoandika hivyo mnamaanisha kuwa kweli mlitaka kumuua kwa hiyo wauwaji wa Lisu ni nyie.
 
Watakuja tuelezea vizuri tukiishamaliza kazi 28/10

..aliyepanga tukio la kumuua TL alikosea kuondoa ulinzi wote.

..hiyo ndio imesababisha waliopanga wajulikane hata na mtu wa kawaida.

..jambo lingine ni kumnyima msaada wakati TL akiwa hoi-bin-mahututi.

..serikali kujiweka kando wakati TL akihitaji kuwahishwa Nairobi. WHY?
 
Wapi Ben Saanane, kijana mdogo wa PHD anakatizwa doto yake

wapi Azory, mwandishi tu aliyeacha mke na vitoto vidogo; wapi Mawazo? Aliyeacha pia mke na vitoto vidogo

Kwa amri ya nani watu walimimina risasi zaidi ya 30 kwemye mwili wa binadamu?

Hii ndiyo Tanzania inayojengwa na hii CCM mpya?

Tunahitaji TUNU ya taifa letu back!!

Tundu Antipas Lissu ni jibu....ujinga umezidi sana nchi hii...watanzania simameni wote kwa umoja wenu huyu jamaa aondoke ..hafai kuongoza taifa lenu.
 
Uzuri wake wakati wa KUJA kutubu u karibu sana. D DAY 28/10
Mama Samia katwambia kuwa huwa mnaua kabisa kwa risasi zisizo zidi tatu.
Kumbe ndio maana alitumwa kwenda kuthibitisha kama KWELI bado yu hai.
 
Mwambieni Magufuli amkamate ndio mtajua hamjui bado,Mahakimu si kawateua yeye,ampeleke mahakamani tuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…