Uchaguzi 2020 Lissu asifu zoezi la upigaji kura

Acha kuwa "BIASED", tumia elimu yako kihaki na weledi.

CCM wameitia doa nchi yetu, doa lisilofichika wala kufutika milele. Nchi hii imeshuhudia wizi na uonevu katika chaguzi nyingi sana, ila huu wa 2020 ni umevuka mipaka. Tumejenga maadui wengi sana wa mataifa yenye nguvu tokea 2015 mpaka sasa, na hatujaonesha dalili wala juhudi za kutuliza hii hali, bali tumeongeza uadui wa raia.

1) Mawasiliano kuminywa - Kwa hili tujindae kuwekewa vikwazo na nchi nyingi sana duniani.

2) Watu kuuliwa - Zanzibar tumeshuhudia watu wamepigwa risasi na askari polisi.

3) Watu kutekwa - Tumeshuhudia viongozi wakitumia plate number ya United Nations kufanyia uhalifu. Hii ni kuichafua UN na kuidhihaki.

4) Kura za wizi - Tumeshuhudia Kawe/Kigoma/Zanzibar kura za wizi zikikamatwa na raia.

CCM lazima itajitangaza kushinda kwa kishindo (Kama wewe ulivyoandika), na watajiapisha kwa mabavu kuanzia Urais/Ubunge/Udiwani. Ila madhara yake unayajua vizuri sana kwa nchi yetu yatakayotufika.

1) Dunia itatoa tamko la kutomtambua Rais wa Serikali ya Tanzania

2) Dunia itatoa tamko la Uchaguzi haukuwa wa Haki na urudiwe.

3) Dunia itatuwekea vikwazo vya kiuchumi.

NB. Tanzania tunategemea utalii kupata fedha za kigeni na kuchangia kwa asilimia nyingi kwenye budget yetu. Wakitupiga pini kwa kuzuia watalii hapa tu, wametumaliza na nchi inaanguka vibaya.

CCM mnaiga kwa Zimbabwe, ila mnajifanya mmeshau walichokipata.

Mtu mmoja analiangusha taifa, na nyinyi mmekalia uongo na unafiki kusifia visivyo sifika, ili mpate kazi/ajira. Njaa mbaya sana.
Jidanganye[emoji41][emoji41]
 
Acha kuwa "BIASED", tumia elimu yako kihaki na weledi.

CCM wameitia "DOA" nchi yetu, doa lisilofichika wala kufutika milele. Nchi hii imeshuhudia "WIZI na UONEVU" katika chaguzi nyingi sana, ila huu wa 2020 ni umevuka mipaka. Tumejenga "MAADUI" wengi sana wa mataifa yenye nguvu tokea 2015 mpaka sasa, na hatujaonesha dalili wala juhudi za kutuliza hii hali, bali tumeongeza uadui wa raia.

1) Mawasiliano kuminywa - Kwa hili tujindae kuwekewa vikwazo na nchi nyingi sana duniani.

2) Watu kuuliwa - Zanzibar tumeshuhudia watu wamepigwa risasi na askari polisi.

3) Watu kutekwa - Tumeshuhudia viongozi wakitumia plate number ya UNITED NATIONS kufanyia uhalifu. Hii ni kuichafua UN na KUIDHIHAKI.

4) Kura za wizi - Tumeshuhudia Kawe/Kigoma/Zanzibar kura za wizi zikikamatwa na raia.

CCM lazima itajitangaza kushinda kwa kishindo (Kama wewe ulivyoandika), na watajiapisha kwa mabavu kuanzia Urais/Ubunge/Udiwani. Ila madhara yake unayajua vizuri sana kwa nchi yetu yatakayotufika.

1) Dunia itatoa tamko la "KUTOKUMTAMBUA RAIS NA SERIKALI YA TANZANIA.

2) Dunia itatoa tamko la "UCHAGUZI HAUKUA WA HAKI" na urudiwe.

3) Dunia itatuwekea "VIKWAZO" vya kiuchumi.

NB Tanzania tunategemea "UTALII" kupata fedha za kigeni na kuchangia kwa asilimia nyingi kwenye budget yetu. Wakitupiga pini kwa kuzuia watalii hapa tu, wametumaliza na nchi inaanguka vibaya.

#CCM mnaiga kwa Zimbabwe, ila mnajifanya mmeshau walichokipata.

Mtu mmoja analiangusha taifa, na nyinyi mmekalia "UONGO NA UNAFIKI" kusifia visivyo sifika, ili mpate kazi/ajira. Njaa mbaya sana.
Tatizo hujui dunia inavyofanya kazi. Hadi sasa CCM wapo ahead of you guys na inasikitisha jinsi mlivyo hopeless na mmeshindwa hata kushawishi watu kwenda kupiga kura???? Mmeshindwa hata na Lowassa.
 
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndugu Tundu Antiphas Lissu amesifu zoezi zima la upigaji kura lilivyoenda muda mfupi baada ya kupiga kura majira ya Saa 8 na nusu mchana kwenye Kituo cha Kijiji cha Mtewa Kilichopo kata ya Ntutu Wilayani Ikungi, Singida.

Tundu Lissu amesema "Nimetoka Dar es Salaam ili kuja kupiga kura mahali ambapo nilikuwa Mbunge kwa vipindi viwili, mahali ambapo nina marafiki wengi na hawa ni watu wangu kwahiyo nilitaka nije niwe pamoja na watu wangu kwenye zoezi hili muhimu katika nchi yetu. Zoezi limekwenda vizuri, nafikiri kwa jinsi nilivyoona utaratibu umekwenda vyema sana."

Tatizo sio kupiga kura na hatujawahi kuwa na tatizo wakati wa upigaji kura MATATIZO HUJA WAKATI WA KUHESABU KURA HIZO NA WAKATI WA KUTANGAZA MATOKEO!!
Kutoheshimu maamuzi ya wapiga kura ni kejeli na dhihaka kwa wapiga kura na demokrasia kwa jumla.
 
Acha kuwa "BIASED", tumia elimu yako kihaki na weledi.

CCM wameitia doa nchi yetu, doa lisilofichika wala kufutika milele. Nchi hii imeshuhudia wizi na uonevu katika chaguzi nyingi sana, ila huu wa 2020 ni umevuka mipaka. Tumejenga maadui wengi sana wa mataifa yenye nguvu tokea 2015 mpaka sasa, na hatujaonesha dalili wala juhudi za kutuliza hii hali, bali tumeongeza uadui wa raia.

1) Mawasiliano kuminywa - Kwa hili tujindae kuwekewa vikwazo na nchi nyingi sana duniani.

2) Watu kuuliwa - Zanzibar tumeshuhudia watu wamepigwa risasi na askari polisi.

3) Watu kutekwa - Tumeshuhudia viongozi wakitumia plate number ya United Nations kufanyia uhalifu. Hii ni kuichafua UN na kuidhihaki.

4) Kura za wizi - Tumeshuhudia Kawe/Kigoma/Zanzibar kura za wizi zikikamatwa na raia.

CCM lazima itajitangaza kushinda kwa kishindo (Kama wewe ulivyoandika), na watajiapisha kwa mabavu kuanzia Urais/Ubunge/Udiwani. Ila madhara yake unayajua vizuri sana kwa nchi yetu yatakayotufika.

1) Dunia itatoa tamko la kutomtambua Rais wa Serikali ya Tanzania

2) Dunia itatoa tamko la Uchaguzi haukuwa wa Haki na urudiwe.

3) Dunia itatuwekea vikwazo vya kiuchumi.

NB. Tanzania tunategemea utalii kupata fedha za kigeni na kuchangia kwa asilimia nyingi kwenye budget yetu. Wakitupiga pini kwa kuzuia watalii hapa tu, wametumaliza na nchi inaanguka vibaya.

CCM mnaiga kwa Zimbabwe, ila mnajifanya mmeshau walichokipata.

Mtu mmoja analiangusha taifa, na nyinyi mmekalia uongo na unafiki kusifia visivyo sifika, ili mpate kazi/ajira. Njaa mbaya sana.
Elimu kutumika kihaki kwenu ni kumsifia Lisuu,mambo hayapo hivyo ndugu,mwambieni Lisuu matokeo yakitoka akubaliane na matokeo.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Hii ndio Demokrasia, Namuomba sana akubali matokeo ya ushindi wa kishindo wa JPM, akubali kushindwa, ampongeze mshindi, siku matokeo yanatangazwa rasmi, awepo pale ukumbini, na kumpongeza rasmi mshindi. Baada ya hapo, ajiandae kwa 2025 anaingia straight Ikulu.

Mkuu tokea hapo seat ya mbele (permanent siti ya bia yetu), demokrasia ni kusafiri toka Dar ili kwenda kupiga kura na watu wako kijijini tu?

Hili la mawakala kuenguliwa vituoni, kura feki nk ni mwendelezo huo huo wa demokrasia unayoiona wewe?

Au wewe mkuu hutumii VPN kufika JamiiForums.com?
 
Hii ndio Demokrasia, Namuomba sana akubali matokeo ya ushindi wa kishindo wa JPM, akubali kushindwa, ampongeze mshindi, siku matokeo yanatangazwa rasmi, awepo pale ukumbini, na kumpongeza rasmi mshindi. Baada ya hapo, ajiandae kwa 2025 anaingia straight Ikulu.
Na wewe unajiita mwanahabari nguli!
 
Hii ndio Demokrasia, Namuomba sana akubali matokeo ya ushindi wa kishindo wa JPM, akubali kushindwa, ampongeze mshindi, siku matokeo yanatangazwa rasmi, awepo pale ukumbini, na kumpongeza rasmi mshindi. Baada ya hapo, ajiandae kwa 2025 anaingia straight Ikulu.
Ikulu gan hio
 
Nimependa busara zako.
Vijana wanasahau hiyo anayoita huduma ndiyo imetuleta duniani sasa tunaitumia kushambulia mama zetu mfano wa kitu cha kumdhihaki mwanamke.
Asante mkuu. Fikiria hao ndio wanaume wanaume wanaotegemewa kuwa viongozi wa familia, wanategemewa kuwa wazazi wa watoto wa kiume na wa kike.
Sad
 
Ikulu gan hio
Lissu ndie rais wa JMT, 2025-2030 kama Chadema watakubali kufuata ushauri huu
P
 
Nlishasoma hii article lakini haiwezekan MTU mwwnyewe ana dharau matusi, ajirekebishe na askilize shida za wananchi
 
Panda kitandani umuhudumie mmeo.
Mnatetea upumbavu huu?
Mnazima mitandao na mnachekelea.
Mnaiba kura hata aibu hakuna.
Mnazuia mawakala mnaona swa tu?

Mnajenga chuki kila kukicha hamjali.
Pumbaffu zenu...ipo siku mtajutia haya sana

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Kuzima mitandao sio ishu sana maana kura hazipigwi mitandaoni. Na after all si hata Jf ni mtandao mbona uko hapa unapambana na usivyo viweza!
 
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndugu Tundu Antiphas Lissu amesifu zoezi zima la upigaji kura lilivyoenda muda mfupi baada ya kupiga kura majira ya Saa 8 na nusu mchana kwenye Kituo cha Kijiji cha Mtewa Kilichopo kata ya Ntutu Wilayani Ikungi, Singida.

Tundu Lissu amesema "Nimetoka Dar es Salaam ili kuja kupiga kura mahali ambapo nilikuwa Mbunge kwa vipindi viwili, mahali ambapo nina marafiki wengi na hawa ni watu wangu kwahiyo nilitaka nije niwe pamoja na watu wangu kwenye zoezi hili muhimu katika nchi yetu. Zoezi limekwenda vizuri, nafikiri kwa jinsi nilivyoona utaratibu umekwenda vyema sana."

Sasa hivi tutasikia wameoana hawa mafirauni.
 
Akili za wapinzani bwana, wabinafsi. Chochote wanachofanya lazima kiwape chochote kitu bila hivyo hakina maana kwao. Sasa wanawaza kila mtu ana mitazamo yao maskini kumbe wengine wana uzalendo yaani mahaba tuu na nchi yao Kwani lini Pascal Mayalla alisema anafanya anayofanya ili apate teuzi?
Asante mama D, asante, ni vilaza tuu wasio na uwezo to read in between the lines ndio wanaodhani natafuta uteuzi!, poor them.
P
 
Acha kuwa "BIASED", tumia elimu yako kihaki na weledi.

CCM wameitia doa nchi yetu, doa lisilofichika wala kufutika milele. Nchi hii imeshuhudia wizi na uonevu katika chaguzi nyingi sana, ila huu wa 2020 ni umevuka mipaka. Tumejenga maadui wengi sana wa mataifa yenye nguvu tokea 2015 mpaka sasa, na hatujaonesha dalili wala juhudi za kutuliza hii hali, bali tumeongeza uadui wa raia.

1) Mawasiliano kuminywa - Kwa hili tujindae kuwekewa vikwazo na nchi nyingi sana duniani.

2) Watu kuuliwa - Zanzibar tumeshuhudia watu wamepigwa risasi na askari polisi.

3) Watu kutekwa - Tumeshuhudia viongozi wakitumia plate number ya United Nations kufanyia uhalifu. Hii ni kuichafua UN na kuidhihaki.

4) Kura za wizi - Tumeshuhudia Kawe/Kigoma/Zanzibar kura za wizi zikikamatwa na raia.

CCM lazima itajitangaza kushinda kwa kishindo (Kama wewe ulivyoandika), na watajiapisha kwa mabavu kuanzia Urais/Ubunge/Udiwani. Ila madhara yake unayajua vizuri sana kwa nchi yetu yatakayotufika.

1) Dunia itatoa tamko la kutomtambua Rais wa Serikali ya Tanzania

2) Dunia itatoa tamko la Uchaguzi haukuwa wa Haki na urudiwe.

3) Dunia itatuwekea vikwazo vya kiuchumi.

NB. Tanzania tunategemea utalii kupata fedha za kigeni na kuchangia kwa asilimia nyingi kwenye budget yetu. Wakitupiga pini kwa kuzuia watalii hapa tu, wametumaliza na nchi inaanguka vibaya.

CCM mnaiga kwa Zimbabwe, ila mnajifanya mmeshau walichokipata.

Mtu mmoja analiangusha taifa, na nyinyi mmekalia uongo na unafiki kusifia visivyo sifika, ili mpate kazi/ajira. Njaa mbaya sana.
Teh teh mnawahofia wazungu waachen wasimtambue ila ss ndo tumemchagua
 
Hii ndio Demokrasia, Namuomba sana akubali matokeo ya ushindi wa kishindo wa JPM, akubali kushindwa, ampongeze mshindi, siku matokeo yanatangazwa rasmi, awepo pale ukumbini, na kumpongeza rasmi mshindi. Baada ya hapo, ajiandae kwa 2025 anaingia straight Ikulu.
Kwa Lisu alivyo bingwa wa uongo sidhani kama atakubali matokeo.

Safari hii hawana wa kususia bunge. Hivyo ni hoja za maendeleo kwa kwenda mbele
 
Back
Top Bottom