mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,227
- 6,670
Mkuu P, watu wengi tusilolijua ni kwamba Lissu hajawahi, wala hana nia ya kuwa Rais wa nchi hii.Hii ndio Demokrasia, Namuomba sana akubali matokeo ya ushindi wa kishindo wa JPM, akubali kushindwa, ampongeze mshindi, siku matokeo yanatangazwa rasmi, awepo pale ukumbini, na kumpongeza rasmi mshindi. Baada ya hapo, ajiandae kwa 2025 anaingia straight Ikulu.
Lissu katika maisha yake yote amekuwa na ataendelea kudharau mamlaka. Kwa maana hiyo, Lissu hajawahi na hatakuwa mwanasiasa wala mwanaharakati.
Kugombea Urais kupitia CHADEMA, alifanya makusudi kukitosa chama kulipiza masahibu aliyoyapata na siyo Serikali, ambavyo alitaka jamii iamini.
Sasa CGADEMA ndiyo mwisho wake kisiasa kama ilivyotokea kwa NCCR-Mageuzi ya Mrema na wanamageuzi wengine km Dr Mvungi et al.