Uchaguzi 2020 Lissu asifu zoezi la upigaji kura

Jidanganye[emoji41][emoji41]
 
Tatizo hujui dunia inavyofanya kazi. Hadi sasa CCM wapo ahead of you guys na inasikitisha jinsi mlivyo hopeless na mmeshindwa hata kushawishi watu kwenda kupiga kura???? Mmeshindwa hata na Lowassa.
 
Tatizo sio kupiga kura na hatujawahi kuwa na tatizo wakati wa upigaji kura MATATIZO HUJA WAKATI WA KUHESABU KURA HIZO NA WAKATI WA KUTANGAZA MATOKEO!!
Kutoheshimu maamuzi ya wapiga kura ni kejeli na dhihaka kwa wapiga kura na demokrasia kwa jumla.
 
Elimu kutumika kihaki kwenu ni kumsifia Lisuu,mambo hayapo hivyo ndugu,mwambieni Lisuu matokeo yakitoka akubaliane na matokeo.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 

Mkuu tokea hapo seat ya mbele (permanent siti ya bia yetu), demokrasia ni kusafiri toka Dar ili kwenda kupiga kura na watu wako kijijini tu?

Hili la mawakala kuenguliwa vituoni, kura feki nk ni mwendelezo huo huo wa demokrasia unayoiona wewe?

Au wewe mkuu hutumii VPN kufika JamiiForums.com?
 
Na wewe unajiita mwanahabari nguli!
 
Ikulu gan hio
 
Nimependa busara zako.
Vijana wanasahau hiyo anayoita huduma ndiyo imetuleta duniani sasa tunaitumia kushambulia mama zetu mfano wa kitu cha kumdhihaki mwanamke.
Asante mkuu. Fikiria hao ndio wanaume wanaume wanaotegemewa kuwa viongozi wa familia, wanategemewa kuwa wazazi wa watoto wa kiume na wa kike.
Sad
 
Ikulu gan hio
Lissu ndie rais wa JMT, 2025-2030 kama Chadema watakubali kufuata ushauri huu
P
 
Nlishasoma hii article lakini haiwezekan MTU mwwnyewe ana dharau matusi, ajirekebishe na askilize shida za wananchi
 
Kuzima mitandao sio ishu sana maana kura hazipigwi mitandaoni. Na after all si hata Jf ni mtandao mbona uko hapa unapambana na usivyo viweza!
 
Sasa hivi tutasikia wameoana hawa mafirauni.
 
Asante mama D, asante, ni vilaza tuu wasio na uwezo to read in between the lines ndio wanaodhani natafuta uteuzi!, poor them.
P
 
Teh teh mnawahofia wazungu waachen wasimtambue ila ss ndo tumemchagua
 
Kwa Lisu alivyo bingwa wa uongo sidhani kama atakubali matokeo.

Safari hii hawana wa kususia bunge. Hivyo ni hoja za maendeleo kwa kwenda mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…