Uchaguzi 2020 Lissu asifu zoezi la upigaji kura

Mkuu P, watu wengi tusilolijua ni kwamba Lissu hajawahi, wala hana nia ya kuwa Rais wa nchi hii.

Lissu katika maisha yake yote amekuwa na ataendelea kudharau mamlaka. Kwa maana hiyo, Lissu hajawahi na hatakuwa mwanasiasa wala mwanaharakati.

Kugombea Urais kupitia CHADEMA, alifanya makusudi kukitosa chama kulipiza masahibu aliyoyapata na siyo Serikali, ambavyo alitaka jamii iamini.

Sasa CGADEMA ndiyo mwisho wake kisiasa kama ilivyotokea kwa NCCR-Mageuzi ya Mrema na wanamageuzi wengine km Dr Mvungi et al.
 
Kwa usenge mnaoufanya ushindi upi wahuyo muuwaji jiwe.. democracia unaijua au unaiongea tu kwenye kinywa?
 
Hawa ndio wasomi wetu Tanzania 😥😥😥😥
 
Kama kila anayemuunga mkono Magufuli anataka teuzi, je Magufuli atateua wangapi..?? Be positive[emoji849][emoji849]
Wengine wanaishia kuchungulia kama msiba.
Hiyo kusifu ni kama kwenda interview halafu unasubiri majibu.
 
Ogopa sana mtu anayepambania ugali wake kwa kufa na kupona
 
Si kweli, siamini kama Lissu ataingia straight Ikulu hiyo 2025. Kumbuka, yeye ni Chadema na hiki chama hakieleweki....usikute hata kesho tu wakalumbana na kukisambaratisha chama au wakamfanyia figisufigisu Lissu kisha akaja kujitoa chamani na kuwa ana tangatanga kama Membe, Maalim Seif, Zitto, Lipumba au kwisha kabisa kisiasa au pengine hata kuhamia CCM. Mkuu Pascal Mayalla njaa kali bwana, mi namtabiria Lissu kufa kisiasa kabisa bcs 5 yrs is too long na wananchi watamchoka tu. The guy is so bitter.
 
Jitambue braza, huna hata aibu hivi wanao wanajisifu wana baba kweli?
Huoni aibu miaka yote unajipendekeza kwa mwanaume mwenzako lakini hakuteui? Kwani bila kujipendekeza hauishi?
Njaa mbaya'' sana
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 povuuuuuu
 
Hayo ndo unapenda yatokee, lakini hayatatokea. Tanzania itaendelea kuwepo na haitakuwa kama Zimbabwe
 
Nimejaribu kukumbusha huu ujumbe toka maktaba!
 
Mayalla uje hapa ndugu Pasco. Kumbe ulishaongea haya mambo? Mbona sasa unabadilika? Lissu ndiyo mabadiliko ya kweli na ni mtu wa amsha amsha kweli kweli.
 
Nimejaribu kukumbusha huu ujumbe toka maktaba!
Mkuu Kipara,@kipara kipya,asante kukumbushia post yangu kwenye uzi huu, kuhusu Lissu kuingia ikulu straight only if Uchaguzi 2020 - Lissu asifu zoezi la upigaji kura

Lissu anayo fursa adhimu na adimu sana uchaguzi wa mwaka huu,kuingia ikulu kwa katiba hiihii bila reforms zozote kama ataingamua hiyo fursa na kuigrab!。 Idadi ya wapiga kura ni milioni 34, CCM tayari ina kura zake milioni 10,hivyo kuna kura milioni 24 for grab!。kati hawa wapiga kura milioni 34,watu milioni 17 ni genZii!. Badala ya kufanya siasa mikakati how to reach out to grab hizo kura milioni 24,we ndio kwanza unaleta utopia wa no election!。

Chadema wakifuata ushauri huu Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...

na huu Uchaguzi 2020 - Lissu asifu zoezi la upigaji kura

Tundu Lissu anatinga ikulu 2025!

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…