Lissu asipelekwe Mahakamani na badala yake kesi iendeshwe kwa Njia ya mtandao

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Nilikuwa naona mahakama ingefanya na kutoa maamuzi ya kuendesha kesi ya lissu kwa njia ya mtandao. Hii ni kutokana na sababu mbalimbali za msingi. Kwanza imeonyesha Wafuasi wa CHADEMA wamekuwa wakitaka kuhudhuria mahakamani kusikiliza kesi ya kiongozi wao. Wakati huohuo ukumbi wa mahakama umekuwa ni mdogo ambao hauwezi kubeba watu hata mia moja kwa wakati mmoja .

Na hapohapo bado hujahesabia mawakili wake. Jambo ambalo limekuwa likileta mvutano wa hapa na pale hasa kwa kila mmoja kutaka kuingia ndani ya ukumbi wa mahakama kusikiliza kesi. Kitu ambacho hakiwezekani na kinaleta usumbufu wa kuwazuia watu hasa pale idadi inapokuwa imezidi kiwango kinachotakikana.

Lakini pia hili linaleta msongamano,vurugu, Makele na uvunjifu wa taratibu za kimahakama pamoja na mkusanyiko usio na tija unaoleta usumbufu kwa shughuli zingine zinazopaswa kuendelea na kufanyika kwa utulivu katika eneo husika.

Lakini pia Lissu amegeuza ukumbi wa mahakama kama kijiwe cha kufanyia siasa , kutoa hotuba na kuhutubia Wafuasi wake,kuleta sintofahamu,kuvunja kanuni na taratibu za mahakama kwa kuanza kupiga makelele na kuongea ongea bila utaratibu wala kuheshimu mahakama jambo ambalo limekuwa likiwakwaza wengi sana na kuondoa utulivu mahakamani.japo mahakama ilitoa onyo kwa lissu lakini kwa utovu wake wa nidhamu kuna uwezekano akaendelea na tabia hiyo mbovu.

Lakini pia imeonyesha wazi kuwa kumbe kuendesha kesi kwa njia ya mtandao inawezekana kabisa . na hata Wafuasi wa CHADEMA wameonekana kufurahia kabisa.

Kwa hiyo kwa kuwa Wafuasi wa CHADEMA wanataka kufuatilia kesi hiyo. Na kwa kuwa ukumbi wa mahakama ni mdogo. Na kwa kuwa lissu amekuwa akivunja taratibu nyingi mahakamani kwa makusudi . Naona ni vyema sasa mahakama ikabadilisha utaratibu wa usikilizaji wa kesi na kuanza kusikiliza na kuendesha kesi hiyo kwa njia ya mtandao kwa siku zote za kesi hiyo mpaka itakapofikia tamati na kutolewa hukumu.

Lakini pia jambo hilo litaondoa mvutano ,malalamiko na shutuma za wafuasi wa CHADEMA ambao wamekuwa wakilitupia jeshi la polisi pale wanapokuwa wanahudhuria katika kesi hizo ziku inapokuwa mbele ya mahakama. Hasa pale jeshi la polisi linapokuwa linatekeleza wajibu wake wa kulinda amani,usalama na utulivu eneo la mahakama.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
downloadfile-4.jpg
 
katiba yetu pia haitoshi kuwatetea watanzania zaidi ya milioni 62 wenye itikadi tofauti, nashauri tuanze na reforms kwenye uchaguzi huu then tupate viongozi bora wa kwenda kuandaa katiba saafi
 
No reform no election
 
Uwena aibu wee mtu, mbona wenzio wakati mwingine wanakuwa na aibu.
Ukiwa siyo riziki siyo ticket ya kitokuona aibu kabisa.
 
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pi

NO REFORM, NO ELECTION
 
Unaogopa nini we chura wa mama.
No Reforms No election
 
NIKUTUKANE TUSI GANI MUNGU WANGU. GIVE ME 5 MINUTES, NARUDI POTELEA MBALI WANIFUNGIE
 
Back
Top Bottom