Lissu asipelekwe Mahakamani na badala yake kesi iendeshwe kwa Njia ya mtandao

Lissu asipelekwe Mahakamani na badala yake kesi iendeshwe kwa Njia ya mtandao

Mwashambwa ni chawa punguani asiyeweza hata kutambua uwezo wake mdogo wa akili na maarifa.

Yaani huyu hana hata uwezo wa kutambua kuwa uwezo wake wa akili na uelewa wake ni mdogo sana ukilinganisha na ule wa jopo la majaji na mawakili.

Matatizo ya wengi wasio na utimamu wa akili ni kutotambua matatizo uao.

This crap worth nothing here.
 
Ungejenga hoja ili ieleweke hoja yako ni ipi hasa.
 
Ngoja apelekwe tarehe ijayo afanye fujo, Mahakama ipate pa kuanzia, kwanza anagongwa na contempt of court, anapigwa faini au kifungo, halafu kesi inaendeshwa kutoka gerezani akiwa amekalia mtondoo.

Contempt ni miezi sita jela, akipigwa hiyo bila faini, hata kama kesi nyingine zikifutwa
 
Ngoja apelekwe tarehe ijayo afanye fujo, Mahakama ipate pa kuanzia, kwanza anagongwa na contempt of court, anapigwa faini au kifungo, halafu kesi inaendeshwa kutoka gerezani akiwa amekalia mtondoo
Another wasted manii
 
Hivi ni lazima uanze parendesi zako, na "ndugu zangu watanzania". hivi watanzania gani wanapenda uonevu?.....we jianzie tu, "sisi chawa wenye njaa zetu, tuna maoni haya........"

utaeleweka tu, watanzania sio wa kuwapachikia undugu wa kidhalimu, ili ubwabwaje tu. usiwasemee, ukweli wanauona.
 
Back
Top Bottom