VEO habari ya sahiziMoshi umeshakuathiri kichwa.
Unamtukana hata kimoyo moyoNaomba mods mruhusu matusi Kwa machawa kama Hawa tu! no reform no election
Bwege katika "PEPO YA MABWEGE"Ndugu zangu Watanzania,
Nilikuwa naona mahakama ingefanya na kutoa maamuzi ya kuendesha kesi ya lissu kwa njia ya mtandao. Hii ni kutokana na sababu mbalimbali za msingi. Kwanza imeonyesha Wafuasi wa CHADEMA wamekuwa wakitaka kuhudhuria mahakamani kusikiliza kesi ya kiongozi wao. Wakati huohuo ukumbi wa mahakama umekuwa ni mdogo ambao hauwezi kubeba watu hata mia moja kwa wakati mmoja .
Na hapohapo bado hujahesabia mawakili wake. Jambo ambalo limekuwa likileta mvutano wa hapa na pale hasa kwa kila mmoja kutaka kuingia ndani ya ukumbi wa mahakama kusikiliza kesi. Kitu ambacho hakiwezekani na kinaleta usumbufu wa kuwazuia watu hasa pale idadi inapokuwa imezidi kiwango kinachotakikana.
Lakini pia hili linaleta msongamano,vurugu, Makele na uvunjifu wa taratibu za kimahakama pamoja na mkusanyiko usio na tija unaoleta usumbufu kwa shughuli zingine zinazopaswa kuendelea na kufanyika kwa utulivu katika eneo husika.
Lakini pia Lissu amegeuza ukumbi wa mahakama kama kijiwe cha kufanyia siasa , kutoa hotuba na kuhutubia Wafuasi wake,kuleta sintofahamu,kuvunja kanuni na taratibu za mahakama kwa kuanza kupiga makelele na kuongea ongea bila utaratibu wala kuheshimu mahakama jambo ambalo limekuwa likiwakwaza wengi sana na kuondoa utulivu mahakamani.japo mahakama ilitoa onyo kwa lissu lakini kwa utovu wake wa nidhamu kuna uwezekano akaendelea na tabia hiyo mbovu.
Lakini pia imeonyesha wazi kuwa kumbe kuendesha kesi kwa njia ya mtandao inawezekana kabisa . na hata Wafuasi wa CHADEMA wameonekana kufurahia kabisa.
Kwa hiyo kwa kuwa Wafuasi wa CHADEMA wanataka kufuatilia kesi hiyo. Na kwa kuwa ukumbi wa mahakama ni mdogo. Na kwa kuwa lissu amekuwa akivunja taratibu nyingi mahakamani kwa makusudi . Naona ni vyema sasa mahakama ikabadilisha utaratibu wa usikilizaji wa kesi na kuanza kusikiliza na kuendesha kesi hiyo kwa njia ya mtandao kwa siku zote za kesi hiyo mpaka itakapofikia tamati na kutolewa hukumu.
Lakini pia jambo hilo litaondoa mvutano ,malalamiko na shutuma za wafuasi wa CHADEMA ambao wamekuwa wakilitupia jeshi la polisi pale wanapokuwa wanahudhuria katika kesi hizo ziku inapokuwa mbele ya mahakama. Hasa pale jeshi la polisi linapokuwa linatekeleza wajibu wake wa kulinda amani,usalama na utulivu eneo la mahakama.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Uchaguzi upo palepale na utafanyika kama ilivyopangwaNo reform no election
Ona hii mbuzi inavyoharaNdugu zangu Watanzania,

Leo baada ya kuusoma huu uzi nikakumbuka na siku ile ulivokuwa unaongea mbele ya waandishi wa habari. Kwa hiyo ndo mipango yenu miovu?Ndugu zangu Watanzania,

Uzuri Mungu amejidhihirisha hufanya kazi kupitia wanadamu.Kwa hiyo wewe umekuwa Mungu mpaka unatoa hukumu?
Ndugu zangu Watanzania,

Umewai kupitia Milembe? Nisije kukujibu kumbe nakuoneaNdugu zangu Watanzania,

Huyu wewe jamaa nakuambiaga post zako ni hopeless kabisa , embu tuliza akili kabla ya kutuma rabbish postNdugu zangu Watanzania,

Viongozi Waoga, Wapinzani Waoga na Wananchi ni Misukule...

Tangia lini chizi akawa na akili ya kujua hadi Salamu.VEO habari ya sahizi
Akili yangu ni kubwa kuliko ukoo wenu woteThen wewe na familia yako mnapata faida gani?
Barabara ndio zitajengwa au?
Hivi ukiwa ccm ni lazima uwe na akili kama zako?
Mbona kuna wenzako wanahoja na akili za kibinadamu kuliko wewe
Kungekuwa na vijana wenye akili kama wewe Enzi za mkoloni I'm so sure Tanzania tusingepata uhuru
Akili yangu ni kubwa kuliko ukoo wenu wote
Wewe ni makalio kwelibona polisi wanajazana kijenge husemiNdugu zangu Watanzania,