Lissu asipelekwe Mahakamani na badala yake kesi iendeshwe kwa Njia ya mtandao

Hivi ni lazima uanze parendesi zako, na "ndugu zangu watanzania". hivi watanzania gani wanapenda uonevu?.....we jianzie tu, "sisi chawa wenye njaa zetu, tuna maoni haya........"

utaeleweka tu, watanzania sio wa kuwapachikia undugu wa kidhalimu, ili ubwabwaje tu. usiwasemee, ukweli wanauona.
Inaonyesha wewe ni mhamiaji haramu
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nilikuwa naona mahakama ingefanya na kutoa maamuzi ya kuendesha kesi ya lissu kwa njia ya mtandao. Hii ni kutokana na sababu mbalimbali za msingi. Kwanza imeonyesha Wafuasi wa CHADEMA wamekuwa wakitaka kuhudhuria mahakamani kusikiliza kesi ya kiongozi wao. Wakati huohuo ukumbi wa mahakama umekuwa ni mdogo ambao hauwezi kubeba watu hata mia moja kwa wakati mmoja .

Na hapohapo bado hujahesabia mawakili wake. Jambo ambalo limekuwa likileta mvutano wa hapa na pale hasa kwa kila mmoja kutaka kuingia ndani ya ukumbi wa mahakama kusikiliza kesi. Kitu ambacho hakiwezekani na kinaleta usumbufu wa kuwazuia watu hasa pale idadi inapokuwa imezidi kiwango kinachotakikana.

Lakini pia hili linaleta msongamano,vurugu, Makele na uvunjifu wa taratibu za kimahakama pamoja na mkusanyiko usio na tija unaoleta usumbufu kwa shughuli zingine zinazopaswa kuendelea na kufanyika kwa utulivu katika eneo husika.

Lakini pia Lissu amegeuza ukumbi wa mahakama kama kijiwe cha kufanyia siasa , kutoa hotuba na kuhutubia Wafuasi wake,kuleta sintofahamu,kuvunja kanuni na taratibu za mahakama kwa kuanza kupiga makelele na kuongea ongea bila utaratibu wala kuheshimu mahakama jambo ambalo limekuwa likiwakwaza wengi sana na kuondoa utulivu mahakamani.japo mahakama ilitoa onyo kwa lissu lakini kwa utovu wake wa nidhamu kuna uwezekano akaendelea na tabia hiyo mbovu.

Lakini pia imeonyesha wazi kuwa kumbe kuendesha kesi kwa njia ya mtandao inawezekana kabisa . na hata Wafuasi wa CHADEMA wameonekana kufurahia kabisa.

Kwa hiyo kwa kuwa Wafuasi wa CHADEMA wanataka kufuatilia kesi hiyo. Na kwa kuwa ukumbi wa mahakama ni mdogo. Na kwa kuwa lissu amekuwa akivunja taratibu nyingi mahakamani kwa makusudi . Naona ni vyema sasa mahakama ikabadilisha utaratibu wa usikilizaji wa kesi na kuanza kusikiliza na kuendesha kesi hiyo kwa njia ya mtandao kwa siku zote za kesi hiyo mpaka itakapofikia tamati na kutolewa hukumu.

Lakini pia jambo hilo litaondoa mvutano ,malalamiko na shutuma za wafuasi wa CHADEMA ambao wamekuwa wakilitupia jeshi la polisi pale wanapokuwa wanahudhuria katika kesi hizo ziku inapokuwa mbele ya mahakama. Hasa pale jeshi la polisi linapokuwa linatekeleza wajibu wake wa kulinda amani,usalama na utulivu eneo la mahakama.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Taarifa nilizopata,ushahidi bado haujakamilika
 
Aendelee kukaa ndani kwanza.
Huyu mama ni mzalendo sana kwa nchi yake ya Zanzibar lkn hana uchungu hata chembe na Tanganyika . Anaipenda sana Zanzibar na anawapenda wazanzibari kiasi kwamba mpk anaonesha upendeleo wa wazi wazi.

1. Angalia jinsi alivyoingilia suala la Fatma Karume kupokwa uwakili.
2. Angalia alivyoingilia mgogoro wa Feisal na Yanga.

Zanzibar kuna ujenzi wa miundombinu usioendana na pato la kisiwa hicho.
1. Ujenzi wa flyovers kwenye kila barabara.
2. Majengo yote ya skuli, zahanati na hospitali kubadilishwa kuwa maghorofa.
3. Ujenzi wa bandari kubwa kuliko zote Afrika Mashariki na kati...bandari ya Mangapwani.
4. Ujenzi wa viwanja vikubwa vya ndege.
5. Ujenzi wa viwanja vikubwa vya michezo.

Kwa makusanyo yapi ya Zanzibar? Kwa shughuli ipi ya kiuchumi ya wazanzibari?

Huku Tanganyika, bandari, mbuga na migodi ya madini vinauzwa kwa waarabu lkn huko Zanzibar mama hajauza hata unyasi.

Ktk kipindi ambacho wazanzibari wamekuwa watulivu kuhusu muungano na wamekuwa wamoja ni kipindi hiki. Kwasabb waliyemtuma kuchuma anachuma kweli kweli. Husikii tena madai ya mamlaka kamili ya Zanzibar wala koti la muungano kubana.

Huku bara kuna utekaji, mauaji na vurugu za kisiasa, mama anachojali ni kuwa anachuma. Hana habari na maisha ya watanganyika. Mapadri wanapigwa, makanisa yanafungiwa na wapinzani wanafungiliwa kesi za kubumba yeye ndiyo kwanza anakejeli.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nilikuwa naona mahakama ingefanya na kutoa maamuzi ya kuendesha kesi ya lissu kwa njia ya mtandao. Hii ni kutokana na sababu mbalimbali za msingi. Kwanza imeonyesha Wafuasi wa CHADEMA wamekuwa wakitaka kuhudhuria mahakamani kusikiliza kesi ya kiongozi wao. Wakati huohuo ukumbi wa mahakama umekuwa ni mdogo ambao hauwezi kubeba watu hata mia moja kwa wakati mmoja .

Na hapohapo bado hujahesabia mawakili wake. Jambo ambalo limekuwa likileta mvutano wa hapa na pale hasa kwa kila mmoja kutaka kuingia ndani ya ukumbi wa mahakama kusikiliza kesi. Kitu ambacho hakiwezekani na kinaleta usumbufu wa kuwazuia watu hasa pale idadi inapokuwa imezidi kiwango kinachotakikana.

Lakini pia hili linaleta msongamano,vurugu, Makele na uvunjifu wa taratibu za kimahakama pamoja na mkusanyiko usio na tija unaoleta usumbufu kwa shughuli zingine zinazopaswa kuendelea na kufanyika kwa utulivu katika eneo husika.

Lakini pia Lissu amegeuza ukumbi wa mahakama kama kijiwe cha kufanyia siasa , kutoa hotuba na kuhutubia Wafuasi wake,kuleta sintofahamu,kuvunja kanuni na taratibu za mahakama kwa kuanza kupiga makelele na kuongea ongea bila utaratibu wala kuheshimu mahakama jambo ambalo limekuwa likiwakwaza wengi sana na kuondoa utulivu mahakamani.japo mahakama ilitoa onyo kwa lissu lakini kwa utovu wake wa nidhamu kuna uwezekano akaendelea na tabia hiyo mbovu.

Lakini pia imeonyesha wazi kuwa kumbe kuendesha kesi kwa njia ya mtandao inawezekana kabisa . na hata Wafuasi wa CHADEMA wameonekana kufurahia kabisa.

Kwa hiyo kwa kuwa Wafuasi wa CHADEMA wanataka kufuatilia kesi hiyo. Na kwa kuwa ukumbi wa mahakama ni mdogo. Na kwa kuwa lissu amekuwa akivunja taratibu nyingi mahakamani kwa makusudi . Naona ni vyema sasa mahakama ikabadilisha utaratibu wa usikilizaji wa kesi na kuanza kusikiliza na kuendesha kesi hiyo kwa njia ya mtandao kwa siku zote za kesi hiyo mpaka itakapofikia tamati na kutolewa hukumu.

Lakini pia jambo hilo litaondoa mvutano ,malalamiko na shutuma za wafuasi wa CHADEMA ambao wamekuwa wakilitupia jeshi la polisi pale wanapokuwa wanahudhuria katika kesi hizo ziku inapokuwa mbele ya mahakama. Hasa pale jeshi la polisi linapokuwa linatekeleza wajibu wake wa kulinda amani,usalama na utulivu eneo la mahakama.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
downloadfile-10.jpg
ushoga sana kumbe. Mnaogopa kila kitu wakati mmefanya miradi ya maendeleo nchi mzima.
 
Ngoja apelekwe tarehe ijayo afanye fujo, Mahakama ipate pa kuanzia, kwanza anagongwa na contempt of court, anapigwa faini au kifungo, halafu kesi inaendeshwa kutoka gerezani akiwa amekalia mtondoo.

Contempt ni miezi sita jela, akipigwa hiyo bila faini, hata kama kesi nyingine zikifutwa
Pumbavu wewe kenge wa Bwina
 
"Contempt of court ni miezi sita jela"
20250427_154208.jpg
 
Viongozi gani hao unaowazungumzia?
Propaganda zinaendeshwa na Viongozi waoga na wasiotimilika kiutumishi, wanaotumia muda mwingi kudalalia maonyesho badala ya kutenda, kama upo mioyoni mwetu kiutendaji huna haja ya kusambaza sura yako kila njia na chochoro ya nchi...
Viongozi waoga nyakati zote wanawaza kupokwa madaraka maana hawana hakika na nafasi zao kwenye utimamu wa wananchi...
 
Back
Top Bottom